THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Bora yule muuza mihogo angemkata tu masikio yote mawili, labda akili zingerudi!Ndo maana unapigwa ban Kila kukicha una Tabia za kidada/kimama sana
Toa Taarifa PoliceRamli chonganishi hii
Akicheza kesho mniite mbwa..........Na kesho anawaweka azam
You are better than this."Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali Asanteni"
Nenda tu Azam Feitoto hauna baya.
Aisee yaani 4mil???? Dah ni haki aondoke kabisa Pumbavu!!!Na yale mashuti yote kumbe alikuwa anakula milioni nne?... aisee yanga ni wauwaji...
FEI alipaswa kula mshahara sio chini ya 10m na zaidi ya hapo.Na yale mashuti yote kumbe alikuwa anakula milioni nne?... aisee yanga ni wauwaji...
Hakika ni furaha sanaKumbe gentamicin umerud dear nimefurahi sana kukuona
UlikuwepoOfisini Ghorofa refu Posta.
Kwa hili naungana na wewe pamoja na Fei"Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali Asanteni"
Nenda tu Azam Feitoto hauna baya.
SureUnaaambiwa GSM kakubali yaishe,dogo kaulizwa unataka nini wamtimizie..wakati mwingine ni vizuri kuheshimu pottential yako.
Una dear wa hovyo sanaKumbe gentamicin umerud dear nimefurahi sana kukuona
Kuolewa ndo maumbile yangu mwanamke sio ajabu.Utaolewa