Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo.
Kadhalika na wale masharifu feki na wazee wanaodai wanamvuta mpenzi alioko mbali wakawavute na ndugu zetu kutoka katika janga lililowakuta.