GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Matokeo yake tumeshajisahau na kama Kawaida yetu tuko busy na Kumsifu Mtu kila Saa ( kwa kile ambacho mpaka sasa GENTAMYCINE sijaona alichofanya ), tuko busy Kutongozana na Kubanduana, tuko busy na Suala la Fei Toto, tuko busy na Mambo ya Mpira, tuko busy na Mabadiliko ya Mawaziri, Makatibu na Wakuu wa Wilaya na tuko busy na Kuzuia Watoto wadogo wasikae Bwenini.
Msijali tuendeleeni tu na huu Upuuzi wetu kwani huenda tumeshahakikishiwa na Malaika wa Mungu kuwa Ukame mkubwa unaowakumba Majirani zetu sasa Wakenya wala na kamwe hautokuja Tanzania kwakuwa Tanzania ni nchi pendwa.
Hovyo kabisa....!!!!!!