Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Nilitegemea kwenye mkutano wa hadhara Mwanza na Musoma Chadema wangekuja na orodha ndefu sana yenye kila aina ya ufisadi alioufanya hayati rais Magufuli kipindi yupo madarakani, kwa sababu wamekuwa wakihubiri mara kwa mara kwamba Magufuli amelifanyia ufisadi mkubwa sana taifa hili. Lakini hakuna walichoongea zaidi ya Mbowe kuonekana akijinadi kuwa yeye ni mwana ccm halisi na hawezi kumtukana rais Samia kwani anampenda sana!
Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za Kanda, za rufaa, vituo vya afya na zahanati..
kule wanaona mradi wa SGR, mara mradi wa Stglers, mara Meli zakisasa kule Victoria, mara upanuzi wa bandari za Dar, Tanga na Mtwara kwa maramoja, mara upanuzi wa viwanja vya ndege Songwe, Mtwara, Bukoba, JK Nyerere
Mara barabara za lami kila kona, mara serikali kuhamia Dodoma, mara ujenzi wa mji wa serikali Dodoma, mara ujenzi wa mpya ikulu Dodoma, mara nidhamu maofisini, mara kuyavutisha pumzi yamoto mafisadi na vibaraka,
mara ujenzi wa stand zakisasa Dar, Dom nk, mara kawatimua wazungu na korona ya mchongo[emoji23] mara kufumua mikataba ya kipumbàvu ya madini na bandari ya Bagamoyo khaaa, mpaka nimechoka ku type.
Kwakweli acha waendelee kuweweseka ila mzee Mwinyi Alisha maliza kuwa Magufuli kwa muda wa miaka 5 amewafunika wote, halafu mwamba hajawahi kwenda kujipendekeza huko ughaibuni. Viva JPM.