Nilitegemea kukura (live) special thread ya uchaguzi mkuu wa marekani.

Nilitegemea kukura (live) special thread ya uchaguzi mkuu wa marekani.

Badala yake ni nyuzi za kugogeana mademu huko afrika ya kati.
Kina Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji Yoda na Kiranga sijui mnaishi marekani ya wapi!!
20241105_074722.jpg
 
Sisi tunaishi marekani ya Vijijini mkuu
 
Equatorial Guinea imeprove one man army, Sargent BartazAR ni mkubwa kuliko baba lao The big USA, Trump na Kamara combined... Africa ni pamoto zaidi ya makaa ya mawe.
Ila jamaa kuna namna hayuko sawa
 
Back
Top Bottom