Subiri yawakuteLeo nilitarajia kwenye wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani,wabunge wangekemea masuala mbalimbali ya utekaji na kupotea kwa baadhi ya raia. Lakini sijasikia...Nani atatutetea sasa jamani....Niseme tu....baaaaaasi....Tumekwisha.....
Halafu wewe mwenyewe siku ya kupiga kura utaipigia ccm licha ya madhira haya au ukiambia rarua moyo wako wala siyo mavazi yako utakataa na kujificha kitandani. Nyie wabongo ni mtaahila likiwemo li wewe. Mdude ndo mwanaumwe nyie wengine ni wanawake japo mna makendeLeo nilitarajia kwenye wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani,wabunge wangekemea masuala mbalimbali ya utekaji na kupotea kwa baadhi ya raia. Lakini sijasikia...Nani atatutetea sasa jamani....Niseme tu....baaaaaasi....Tumekwisha.....
Eeh aibu nimeona mimi.Hawa......😁
View attachment 3346557
Kazi kweli kweli 😃Hawa......😁
View attachment 3346557
Umenikumbusha kuhusu vibogoyo jinsi wanavyopata shida kula mshikaki na ndizi chomaLeo nilitarajia kwenye wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani,wabunge wangekemea masuala mbalimbali ya utekaji na kupotea kwa baadhi ya raia. Lakini sijasikia...Nani atatutetea sasa jamani....Niseme tu....baaaaaasi....Tumekwisha.....