PostGE2025 Nilitegemea Msigwa abebe waandishi kwenda Makaburi ya Kondo kuwaaibisha CNN kwa uongo, kaishia kutemea mate maiki bila ushahidi wowote

PostGE2025 Nilitegemea Msigwa abebe waandishi kwenda Makaburi ya Kondo kuwaaibisha CNN kwa uongo, kaishia kutemea mate maiki bila ushahidi wowote

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Msigwa anaweza asielewe hiyo location. Nilitarajia wanaharakati Kwa mujibu wa harakati zao waende na waandishi wa habari wakawaonyeshe yalipo Hayo makabuli maana CNN lazima waliwapatia Coordinate🤣🤣
Uende kwenye hiyo location utekwe? Ulinzi usio wa kawaida ni wa nini maeneo hayo sasa?
 
ila nahisi, mambo yakiwa magumu sana kwao watakuwa radhi waliwashe moto hili taifa ili tuungue wote.
Ofcourse hicho ndicho watakachofanya. Wakikubali kurusha taulo maana yake watafilisika na hatma yao ni jela, kwahiyo chaguo lao ni lazima litakua kuzama shimoni pamoja na nchi
 
Uende kwenye hiyo location utekwe? Ulinzi usio wa kawaida ni wa nini maeneo hayo sasa?
Waandishi wanaoendanao si watatuonyesha wanaharakati wanavyotekwa. Tumeonyeshwa na waandishi mashujaa wetu waandamanaji wakiuwawa na Askari bila kuogopa kudhurika, itakuwa kwenda kuchungulia makabuli.
 
Back
Top Bottom