Nilitegemea Rais angeongea kitu kuhusu bodi ya Mikopo HESLB

Nilitegemea Rais angeongea kitu kuhusu bodi ya Mikopo HESLB

Nazani hij issue ifanyiwe advocacy ya kutosha na kampeni kabisaa. Ikipata attention huu mwiba utapunguzwa maumivu.

Maombi yangu hoja hii ipate vijana strategic ili wai push hii agenda
 
Nina imani na maza. Sijui kwanini ila imani ninayo. Hili la bodi hawezi liacha maana mh zile increment za mwaka sizielewi. Mfano mi sahivi inaonekana imebaki 1.3M ila najua kuna mil 1 haitokei kwenye slip. Ila tuwe na subira.
Kuna zaidi ya mil 2 haitokei kwenye slip huwa inaongezeka kila mwezi
 
Nazani hij issue ifanyiwe advocacy ya kutosha na kampeni kabisaa. Ikipata attention huu mwiba utapunguzwa maumivu.

Maombi yangu hoja hii ipate vijana strategic ili wai push hii agenda
Una mpango gani toa idea.
 
Subira yavuta kheri...

Mambo mengi yapi shaghalabagala anayaweka sawa taratibu...
 
Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani, hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku 'sosho midia'
Mkuu
Hotuba moja kabla ya hii ya jana aliongea mbona kuhusu HESLB
 
Back
Top Bottom