johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Salim kikeke si mtu wa kushindwa lugha,yuko smart na amefanya kazi BBC kwa muda mrefu sanaLugha Mzee, Hawa wetu hata dressing code tu wamejaa kihuni.
Kama si mfuatiliaje wa bbc, amefanya both and he is goodSalimu kikeke Huko BBC alikuwa BBC Swahili.
Hawa jamaa ni wajinga asubuhi walikuwa wanafanya ujinga wa kijinga kabisa.Watangazaji wa kibongo ni chawa wa ccm na wanaweza uchawa kwenye mikutano ya chimwaga
Mkuu mbona una upeo mdogo.Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati
Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?
Nimeshangaa Mno ๐ผ๐ผ๐ผ
Mkuu kafanya BBC SWAHILISalim kikeke si mtu wa kushindwa lugha,yuko smart na amefanya kazi BBC kwa muda mrefu sana
Kikeke sawa,Ila Maulidi unamuonea ndugu.Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati
Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?
Nimeshangaa Mno ๐ผ๐ผ๐ผ