Nilitegemea Salim Kikeke na Maulid Kitenge wangepata Fursa ya Kuongoza Mijadala Kwenye huu Mkutano wa Nishati lakini Sijawaona kabisa!

Nilitegemea Salim Kikeke na Maulid Kitenge wangepata Fursa ya Kuongoza Mijadala Kwenye huu Mkutano wa Nishati lakini Sijawaona kabisa!

Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati

Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?

Nimeshangaa Mno 🐼🐼🐼
Ukishamaliza kushangaa toka hapo kihesa nenda kitwilu kapige ulansi
 
Mwanzo nilikusifia kuwa mwaka mpya umeanza ukiwa na akili nzuri ila naona unarudi kwenye ujinga wako kwa kiwango cha SGR.

Hao wapuuzi hawana akili na level za kuendesha mijadala yenye akili kwenye mikutano ya namna hii.
Kidogo Sami Awami
 
Back
Top Bottom