johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Wa Ivory coast 🐼😄Tusaidie kidogo ambao hatujaona. Sasa umeona journalists wa wapi wanaoongoza mijadala kwenye huo mkutano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa Ivory coast 🐼😄Tusaidie kidogo ambao hatujaona. Sasa umeona journalists wa wapi wanaoongoza mijadala kwenye huo mkutano?
Al Jazeera kuna mmoja anaitwa JAMES BAYS..Kumhoji Rais na kuwahost Marais vitu viwili vyenye anga tofauti.
Hili ni suala la diplomatic foreign relations, ambalo Kikeke hana utaalam nalo.
Ukishamaliza kushangaa toka hapo kihesa nenda kitwilu kapige ulansiSijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati
Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?
Nimeshangaa Mno 🐼🐼🐼
Maulid Kitenge? Seriously?Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati
Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?
Nimeshangaa Mno 🐼🐼🐼
Kidogo Sami AwamiMwanzo nilikusifia kuwa mwaka mpya umeanza ukiwa na akili nzuri ila naona unarudi kwenye ujinga wako kwa kiwango cha SGR.
Hao wapuuzi hawana akili na level za kuendesha mijadala yenye akili kwenye mikutano ya namna hii.
Huyu sawaKidogo Sami Awami