G
Hao wa shivaz na maeneo mengine ya Arusha anakudanganya. Sisi tulioishi na kufanya uzinzi hapo Arusha miaka hiyo, hakuna mwanamke wa maana. Wote ni matakataka.sasa aliyekudanganya wale wadada ni low valued ni nani? unawafananishaje na wale wa kule buguruni? ukiona mpaka ford na range zina park means ni malaya wanaojitambua wa hadhi yajuu hata kama wapo barabarani...tena nasikia mitaa ya sinza malaya wengine mpaka wana magari wanakuja nayo... so bado point yangu ipo pale pale Balqior
Nuksi lake si la nchi hii, usiguse kabisa hao alafu wanaoga dawa balaa, mixer kuibiwa nyotanando maana mimi hizo takataka( no malice intended) sitaki kuchapa.. naona ni kujidharau na kujikosea sana
Nilikua nimepanga gheto hicho kitaa, Kwa chini tu kidogo, mirungi na bangi ndo zao, Arusha ukitaka mademu wakali, Chonga na madalali, hao wa kuokoteza simu sana wanakuuza Kwa wahuni, wakikuona mlugalugaHao wa shivaz na maeneo mengine ya Arusha anakudanganya. Sisi tulioishi na kufanya uzinzi hapo Arusha miaka hiyo, hakuna mwanamke wa maana. Wote ni matakataka.
Mungu atusaidie.
Na sababu kuu ni kupanda kwa mafuta πππBei zimechangamka eeh?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kimboka unabeba chumaπKwa maelezo yako meengi kumbe mtoto wa mama? Kimboka unajikoki hivyo?
Kimboka bado ipo kweli?,naona kama machimbo yamehamia UBUNGO πππHabari za weekend ndugu wadau wa JF wa thamani sana!
Mimi katika balehe yangu na kukua kwangu nimesikia mengi mno kuhusiana na hili suala la dadapoa wanaojiuza maeneo mbali mbali hapa jijini Dar es Salaam. Wakati huo wote nilikuwa mbishi mno kwa sababu sikujua upande wa pili wa hili jiji la Dar, na pia sikujua kuwa kuna mpaka maeneo spesho yenye rooms ndani zilizopambwa vizuri mno.
Jamaa zangu baadhi walikuwa na experience na hizi vitu, mimi nilikuwa school boy so sikuwa na makeke ya kuzurura zurura sana nikiwa home. kiukweli mpaka hili la kujua uwepo wa hawa akina dada ndo maana lilinipita kabisa na nikawa nawabishia jamaa zangu.
Sasa imepita miaka mingi nikaona nijaribu kutafiti mwenyewe undani wa hii ishu... weekend nikavaa zangu cap zile kofia za kufunika mpaka mbele ya paji la uso..
Hii ilikuwa na jumamosi iliyopita... nikapanga ruti kwa sababu nilikuwa na maelezo ya kutosha kutoka kwa baadhi ya jamaa za rafiki zangu waliotoka mkoa kuja kuwaona ndugu zao...
Nikabeba kama laki moja cash kwa ajili ya emergency coz lolote linaweza kutokea maeneo ya namna ile... kwa taarifa nilizokuwa nimepewa ni kuwa ni maeneo hatari mno. nikasafisha silaha yangu nikaiweka vema kiunoni na kuhakikisha imefit vema..
Kuhusu mavazi nilibadilisha kabisa muonekano wa mavazi... nikavaa kama mmoja tu wa watu wa kawaida mno kutoka huko kijijini wanakolima ndizi na mpunga. ilipofika saa 1 jioni nikaanza safari na nikaenda Kimboka...
Rafiki zangu nilishawapa taarifa kuwa likitokea la kutokea nitawapigia simu naharaka waje kunichukua coz sikwenda na gari nilichukua daladala.
Kufika pale tu nikaelekea pembezoni mwa barabara. nikana wadada wengi kiasi. wengine walionekan wamedhoofu mno na sura zimebabuka kwa matumzi makali ya madawa ya kujichubua.. na baadhi walionekana bado mabi ti wabichi na si ajabu walikuwa wanafunzi wa vyuo mojawapo hapa jijini...
Wakaanza zile za aaah shemeji... mara twende hawana tafsida kabisa wanaongea kama walevi... nikawa nawapa hii nikijifanya mpia njia tu..
Kuna jambo la ajabu nikalibaini chap... kuna mateja, na wavuta bangi na boda boda wengi karibu na pale kimboka penye ile bar
Kuna wanaume wa aina tofauti wanakwenda kupata huduma... kwa nilivyoona, wengi ni masikini kimuonekano na mavazi yao ni hafifu na duni... pia walevi nao hasa wa matap tap ni wateja wakubwa wa wale wadada... niligundua hili baada ya kunusa harufu ya pombe za kienyeji walipokuwa wakinisalimia..
Kwa hali ile... sikuwa hata na hamu ya kujaribu kuingia ndani kuona kipi ni kipi.. nikatoka pale nikaelekea pale buguruni nimepasahau.. kuna akina dada wengi wana vyumba ndani vinawaka taa nyekundu nyekundu hivi.. all that time kuna jamaa alikuwa ananipa directions kupitia mesage.
Basi kufika pale baadhi wakawa wananishika mikono and so on... kumbuka ni mara yangu ya kwanza hapo kufika maeneo hayo... napo nikakuta wateja wengi waliokuwa wakija pale ni wale waliochoka hivi kimuonekano... pia harufu za pale ni kali kali mithili ya uozo uozo hivi..(nilikuwa na muda wa kuchezea sana ile siku)
basi, ile hali ikanikata stimu mno hata sikutaka kuingia ndani kabisa.. nilichukia sana.. sababu kuu za kutotaka kuingia ndani ni hizi:
1. Wale akina dada wengi ni wachafu wachafu kwa kweli hivyo niliingiwa na kinyaa sana.
2. Aina ya wateja wanaokuja kwao, wengi ni choka mbaya kimuonekano, walevi, wazee waliofeli maisha , wavuta bangi, mateja, vitoto vidogo vya form nk
Nikawaza.. yaani no share uchi na aina hii ya watu? nimekuwa desperate kisi hiki? yaani niingize shimo ambalo low valued men like those i saw there wanaingiza? nope, sikuwa tayari ku share uchi na low valued men.. niliona kama ni kujitia mikosi na nuksi tu kwa kweli.. (sina nia ya kumdharau mtu yeyote.. ila ndiyo mipaka niliyojiwekea maishani mwangu toka napata akili,,, i don't prefer cheap things particularly cheap girls/pussies)
3. Nilikuwa na silaha hivyo nilihofia kuwatisha na hivyo kupigiwa kelele... hali ambayo ingeleta matatizo mengine pia ambayo yangeharibu misheni yangu.
Mpaka saa 5 usiku nilikuwa nimeshakamilisha research yangu isiyo rasmi.. na nikachukua daladala na kurudi nyumbani...
Aisee,, kweli watu wana mioyo migumu...
Basi malaya Dar wapo kila sehemu na viwango tofauti. Kuna wanawinda sehemu za wachovu kabisa na kuna wanaowinda hotel kubwa kubwa. Sijui kama Uwanja wa fisi bado ipo lakini nayo ilikuwa na malaya wachafu kweli kweli kwa ajili ya wanywa mataputapu. Siku moja nakatiza njia usiku nikamwona mjomba wangu niliyekuwa namheshimu kweli kweli anaingia kwenye banda moja bovu hivi na mwanamke. Unaitiwa kabisa... ''braza, hapa buku tu unakojoa, ukitaka nyuma buku mbili, kama umepungukiwa kidogo usione haya kusema.''mimi nilikuwa school boy... shule, nyumbani na wazazi walikuwa harsh sana... jamaa zangu wote walijua mapema mno hizi... na walikuwa wananiambia sana u ila sikuwa na nafasi ya ku prove at the time... so nikaamua ni prove mwenyewe at this time...
mbona nisha declare interest hapo juu. siwezi kulala na malaya ambaye najua fika low valued and foolish men wanat0mba... i cant share pussy with a low valued man... ni kujitukanisha tu. neverResearch yako bila shaka kuna taarifa nyeti kuwahusu wao hukuzipata.
Awamu nyingine nenda locally acha silaha and so on, fikia hitimisho kwa kuzini nao utapata dodoso lililokamilika on bed
Kwa maelezo yako meengi kumbe mtoto wa mama? Kimboka unajikoki hivyo?
mkuu, hakuna kitu kibaya kama kupenda cheap things... si umeona ulivyomdharau anko wako kisa umemkuta uwanja wa fisi anashea pussy na failed, unconscious plu low valued men. vp kama ungemkuta sinza?Basi malaya Dar wapo kila sehemu na viwango tofauti. Kuna wanawinda sehemu za wachovu kabisa na kuna wanaowinda hotel kubwa kubwa. Sijui kama Uwanja wa fisi bado ipo lakini nayo ilikuwa na malaya wachafu kweli kweli kwa ajili ya wanywa mataputapu. Siku moja nakatiza njia usiku nikamwona mjomba wangu niliyekuwa namheshimu kweli kweli anaingia kwenye banda moja bovu hivi na mwanamke. Unaitiwa kabisa... ''braza, hapa buku tu unakojoa, ukitaka nyuma buku mbili, kama umepungukiwa kidogo usione haya kusema.''
Sampa he!!Nunua wewe acha uoga, washakwambia wanawake wote malaya.
π
Hivi mjini watu wanapata madon kwa kujipanga barabarani coca?? πOption ipii? [emoji23][emoji23][emoji23]