Nilitembelea Buguruni Kimboka weekend. Hali inatisha

Hivi mjini watu wanapata madon kwa kujipanga barabarani coca?? [emoji16]
Wajifunze kwa sanchi, Posh Queen, Sishkiki, Nifer [emoji16][emoji16]

Hata hivyo Sitaki kuliongelea sana
Sasa dents wa chuo wanaweza enda sehemu classic km hyatt. Johari rotana, elements? Etc?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
unanionea mkuu kwa namna ulivyoandika
 
okay upo huru kuamini hilo pia
 
Sasa dents wa chuo wanaweza enda sehemu classic km hyatt. Johari rotana, elements? Etc?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua huwezi amini ila wanaweza wakipata kampani na siku hizi issue zimekuwa rahisi kwa sababu ya mtandao, madalali wanawachagua kirahisi insta na tiktok. Na kingine sio kila mara hao madon wanakuwa 5 star hotels kuna restaurants, lounge, events etc

Nimekaa kwenye industry flani ya kudeal na freelancers na influencers. So nawaelewa vizuri

Ila nisifichue mengi nikaja kukamatwa 😁😁
 
Wauza supu wa sinza, hatarii, hapo mastar wa Instagram wana madalali,
 
Hivi mjini watu wanapata madon kwa kujipanga barabarani coca?? 😁
Wajifunze kwa sanchi, Posh Queen, Sishkiki, Nifer 😁😁

Hata hivyo Sitaki kuliongelea sana
Imenishangaza sana, siku hizi wanajiuza kupitia biashara zao, utasikia nauza nguo mikoba, au saloon za kike na kwenda kufanya mazoezi gym, unajiongeza unatangaza dau unapiga mnaachana
 
Hata buguruni safisha ilivo pita pamekwisha siku hizi, malaya telegram, fb na insta, kidogo sehemu za starehe hao wa barabaran ni waliochoka hata smartfn hawan
 
Hapo magonjwa ya zinaa kama yote vile ujigusa tu, mengine hata condom haisaidii.
 
Imenishangaza sana, siku hizi wanajiuza kupitia biashara zao, utasikia nauza nguo mikoba, au saloon za kike na kwenda kufanya mazoezi gym, unajiongeza unatangaza dau unapiga mnaachana
Hii biashara ni kubwa mno na mbaya zaidi watu hawajanielewa. Siku hizi njia ni nyingi ikiwemo hiyo ya kuwa na biashara geresha na maisha fake mtandaoni ili wapewe dau kubwa.

Kuna wengi mjini wana wake wauzaji ila hawajui. Inasikitisha
 
Umenikumbusha mbali sana kuhusu kimboka. 2007 wakati nipo first year tuliwahi kuibuka hapo

Pale guest ilikua sh.2000 na dadapoa nae 2000, jumla buku 4 tu. Mazingira ya mule ndani guest yalikua machafu sana.

Ukisogea pale sokoni kulikua na sewa bar, napo pia hivyo hivyo
 
Watu wanabaka hadi vichaa ndio ije kuwa hao wadada wanaojiuza
Vichaa kitu gani? Wapo wanaoingilia wanyama. Hapo suala ni huyo niliyemnukuu, anasema hawezi kwenda kupata huduma.

Arusha kuna sehem wadada wa kimasai wanachangisha vijana wanaweza kufika wanne au watano ndio wanapewa huduma, yaani mnapanga foleni na wateja hawakosekani.

Haya mambo ni maamuzi na utashi wa mtu binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…