Nilitembelea Uwanja wa Fisi, Buguruni, Rambo, Kimboka na kwingineko siku za hivi karibuni nimelia machozi

Naweza kuanzisha NGO ila si kwa ajili ya makahaba
Makahaba nao ni binadamu kama wengine na si wanyama ndiyo maana uliona huruma mpaka ukalia. Wengine wanakuwa makahaba kutokana na mazingira waliyokulia na wanapenda sana kama wangepata mtu wa kuwatoa huko.
 
Iyo ni kazi kama zingine.

Mbona serikali iko kimya kama inge kuwa sio kaz wange yafunga ayo machimbo

Hayo machimbo yanajulikana kwa kila kiongoz from serikali ya mtaa adi serikali kuu then ww uanze kulia may be ulikuwa na stress zingine tu mzee baba.

Hayo machimbo acha watu wachakate, mm ngependa tu waweke ToZo serikali iongeze mapato kwa ajili ya kuendeleza miradi ya kimkakati.

Acha watu wa utilize resources effectively, kuzeeka ni stage moja wapo ya binamu.
 
Dah nimecheka aki. Kwamba uasherati tunaushinda kwa kuukimbia na sio kuufatilia na kuutizama. 😁😂
 
...ukweli unaouma na uenda usioujua ni kwamba, mwanamke hasa wa aina hiyo ukimpa ela bila kuichakata anakuona puya! na hafuraihi pesa yako!!!
 
wamechagua kuishi hivyo mbona kuna wadada umri huo kila siku nakutana nao kwenye vibarua wanapiga wanapata pesa yao hadi kazi zinakosa watu umalaya ni addiction kama pombe na madawa
 
Ni sehem gani yenye vibinti zaidi niongee na watu wa mradi wakawaokoe
 
Waonee huruma ila wao hawanaga huruma, trust me
 
Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…