Nilithubutu nikaweza

Tuambie unafanya nini??

mwanzo ulifanya nini?? kwa biashara uliyokosea??

Ulifanyaje mpaka ukasimama??
Umeuliza maswali mazuri maana nimekuja fasta matokeo yake nimesoma uzi mpaka mwisho sijaambulia kitu
 
Sasa kada mwenzangu kwa hii thread unaona umetusaidia chochote kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hapo mwenzako kamaliza wewe tena unamshangaa! Eti tutafute hela siyo kazi yeye alithubutu na akaweza kwa kufanya nini hilo ndio alikuwa afafanue cyo kutoa jibu la swali bila njia ya namna umelipata hilo jibu je, Kama umekaririshwa jibu! Sisi utakuwa umetusaidiaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…