Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,877
- 5,022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuliza maswali mazuri maana nimekuja fasta matokeo yake nimesoma uzi mpaka mwisho sijaambulia kituTuambie unafanya nini??
mwanzo ulifanya nini?? kwa biashara uliyokosea??
Ulifanyaje mpaka ukasimama??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hapo mwenzako kamaliza wewe tena unamshangaa! Eti tutafute hela siyo kazi yeye alithubutu na akaweza kwa kufanya nini hilo ndio alikuwa afafanue cyo kutoa jibu la swali bila njia ya namna umelipata hilo jibu je, Kama umekaririshwa jibu! Sisi utakuwa umetusaidiaje!Sasa kada mwenzangu kwa hii thread unaona umetusaidia chochote kweli
ni kawaida ya makada wa hiki chamaHuyu ni hakuna kitu hapo