Hakuna uhalisia Kwa ulichokiandika,fake story
Inawekana ni party one, tusubiri party two. Ila ingekuwa vizuri angeeleza kinagaubaga watu tujifunze kupitia kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna uhalisia Kwa ulichokiandika,fake story
Uko sahihi mkuu Niko naandaa kwa ubora zaidi ili iwe na manufaa zaidi ya kuwasaidia watu wengi hasa vijana wenzangu,nimefrahi sana kuona wengi wana shauku ya kujua,Inawekana ni party one, tusubiri party two. Ila ingekuwa vizuri angeeleza kinagaubaga watu tujifunze kupitia kwake
Uko sahihi mkuu Niko naandaa kwa ubora zaidi ili iwe na manufaa zaidi ya kuwasaidia watu wengi hasa vijana wenzangu,nimefrahi sana kuona wengi wana shauku ya kujua,
Ww unaamini alichokiandika ni uhalisia huyu kaja kupumzika tu kwenye hill jukwaaWe Jamaa itachukua muda sana kufanikiwa. Unaelimisha watu halafu unaficha ulikuwa unafanya biashara gani duh? Wewe ni sawa na madereva wa miaka ya 1980's waliokuwa wanafunika Gunia kwenye Gia
Hakuna uhalisia Kwa ulichokiandika,fake story
We Jamaa itachukua muda sana kufanikiwa. Unaelimisha watu halafu unaficha ulikuwa unafanya biashara gani duh? Wewe ni sawa na madereva wa miaka ya 1980's waliokuwa wanafunika Gunia kwenye Gia
Siku ntaleta yangu humu, tena ntaweka wazi ili wengine mjifunzeNimefungua faster, kumbe wimbo ule ule, tutakuwa inspired vipi usiposema unafanya biashara gani? Au hutaki tuuige? Kuhusu fursa kweli zipo ila practically ndo vema kujua kwa walio jaribu