Nilitiwa aibu ugenini sitasahau

Ila Mdigokhan 😂😂hukosagi visa asee .....ni funzo akufukuzaye hakwambii toka a ni matendo tu
 
Hata ujitetee vipi wewe bado ni kikojozi tu.
 
Hakuna nduguyo hasa anko anayeweza mfanyia hivyo mtoto wa dadake never! Na actually hakuna ndugu katili to that extent ya kumfukuza ndugu km mwizi kiasi hicho. Ni haiwezekani!!!
Hujawahi jua watu vizuri mkuu, kuna ndugu especially dar hawapendi wageni, hata kama wana nyumba kubwa ya ghorofa, yenye vyumba vitupu na wana uwezo mzuri kipesa, yani maisha yao ni wao na wake/waume zao na watoto..

Si vizuri kupumzika kwa ndugu kwa mda mrefu, ila tabia iyo inatokana na kupenda privacy kupita kawaida, na kukosa upendo baina ya sisi binadamu Mdemalafu
 
Yaani uko ni mgeni akuache na hatari.... Uondoke nje ya gate.ohooo hapo nimekataa....
 
Inaonekana ni chai kwani huyo mjomba hangefanya uamuzi wa haraka hivyo. Ni haraka za kishamba nae sio mshamba kiasi hicho. Eti ulimsalimia mke wake akaitika kwa kichwa [emoji1787][emoji1787].

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Funga hilo geti we ukiwa nje..... Nikasikia kwichi kwichi
 

Kuish na watu inakera mno hujui tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…