Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Nilitoa utabiri mwez wa nane wa tukio zito,limekuja now
Sio sote😂😂Zito kwao.
Samia kafa?Nilitoa utabiri mwez wa nane wa tukio zito,limekuja now
Sio soteZito kwao.
Et wanasema Off target,,,,ila tue na subira dumbiya atafunga tu,🤣🤣🤣🤣🤣Off target
Mkuu usinigombanishe na watuSamia kafa?
Sasa kuna tukio gani tunalingoja kwa hamu zaidi ya hilo?Mkuu usinigombanishe na watu
😂😂😂 Niache kidogo 🥱Sasa kuna tukio gani tunalingoja kwa hamu zaidi ya hilo?
😂😂Aliandika Dogoli kinyamkela
🔊 UNABII WA MWEZI WA 8
Mwezi wa 8 naona ukiwa mwezi wa utulivu, lakini ndani ya utulivu huo kutajitokeza mambo makubwa. Naona mbingu zikitulia ili kuleta majibu kwa wengi wanaomtafuta Mungu kwa imani.
Maono niliyoandika leo:
1. Naona tasnia ya Bongo Fleva ikipata pigo kubwa.
2. Naona katika Bongo Movie yakitokea matukio mawili ya huzuni yanayowahusu wasanii wawili wanaopendwa na watu wengi.
3. Naona Bunge la Tanzania likiwa katika hali ya huzuni, na nafasi mbili za ubunge zikibaki wazi.
4. Naona upande wa Arusha tukio kubwa linalohusisha mlima na mlipuko wa volkano.
5. Naona atatoka, lakini hatabadilika; badala yake atarudi akiwa na msimamo mkali zaidi kuliko ule wa kwanza.
6. Wafanyabiashara, simameni katika maombi. Naona vifo vya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa na wadogo.
Mungu awarehemu watu wake na ageuze kila jambo baya kuwa ushuhuda. Tuendelee kuomba na kumtumaini yeye katika kila wakati.
✍️ Imeandikwa leo: 28-07-2026
Mzee achana nq mambo ya "Unabii", sio eneo lako hilo.