Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Ndio nini mkuu?!!!
Aisee !pole sana duniani kuna magonjwa mengi sana.ni aina ya bacteria ,,, unaugua tu kama ilivo kwa UTI
Ndio ugonjwa gan na unaupata Kwa njia gani ..
Ugua pole
pale kati patamu sanaAisee !pole sana duniani kuna magonjwa mengi sana.
Unamisamiati!"kunjunja"ndio kupeleka moto kwa ke!kunjunja mkuu
Unamisamiati!"kunjunja"ndio kupeleka moto kwa ke!
Mjegeje unasimama mzeee.
Kama unasimama na kupump fresh
Haina shida mtoto hata wa kuchitiwa(kuchapiwa) ni mtoto
Zingatia show
NakaziaDon't google your symptoms,
Huu ni ukichaa!!
Kwanza hilo jina la ugonjwa mbona ni kama jina la MZIMU WA KIHEHE?
Stryphoco-whaaat???