Niliugua Staphylococci. Vipi naweza kua nishapata utasa?

Niliugua Staphylococci. Vipi naweza kua nishapata utasa?

Huu ni ukichaa!!

Kwanza hilo jina la ugonjwa mbona ni kama jina la MZIMU WA KIHEHE?

Stryphoco-whaaat???
Staphylococcus aureus ni aina ya bacteria wanaweza sababisha mgonjwa mengi ikiwemo UTI, food poisoning, sepsis, pneumonia etc so mkuu mdudu wako naona alikuwa na treatment failure kwa sababu ya watu wengi wanapenda kunywa dawa wenyewe mpka yakiwashinda ndo waende hosp
Now days watu wanakula azuma na chai hii inafanya wadudu wawe sugu na dawa
Amoxicillin it was the best FX kwa kifua na UTI now days Ceftriaxone wanachoma kma mchezo inakuja kufail soon

Ushauri do not google ur symptoms nenda hosp kwani shilling ngap kwa afya hako!
 
Staphylococcus aureus ni aina ya bacteria wanaweza sababisha mgonjwa mengi ikiwemo UTI, food poisoning, sepsis, pneumonia etc so mkuu mdudu wako naona alikuwa na treatment failure kwa sababu ya watu wengi napenda kunywa dawa wenyewe mpka yakiwashinda ndo waje hosp
Now days watu wanakula azuma na chai hii inafanya wadudu wawe sugu na dawa
Amoxicillin it was the best med kwa kifua na UTI now days Ceftriaxone wanachoma kma mchezo
Amoxillin na Ceftriaxone zinauzwa shingapi?
 
Daah microbiology nikiikumbuka kipindi hicho jamaa alikuwa na mbwembwe anatupia na picha wakati wa class kila mtu anakata shauri la kuishi maisha takatifu.
 
Back
Top Bottom