Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ingekuwa vipi, kama machangudoa wasingekuwepo, kasi ya kuibiana wapenzi ingeongezeka?
sijui wewe utajibuje?
:confused2::A S 8:
Machangudoa wapo wengi tu na kasi ya kuibiana wapenzi bado ipo sasa hapo unategemea nini wala hakuna difference yoyote ile hebu fikiria sasa hivi hao wanaojiuza wengi ni wanawake na wateja wao ni wanaume ambao hao hao wanaume wana wapenzi wao tena wengine wameoa kabisa na bado akitoka hapo anaenda kutembea na mke wa mtu mwingine pia wewe kasi itapungua vipi
nimekuelewa mpwa, ndo maana kama tu sasa hivi machangudoa wapo na watu bado wanaacha wake zao na kuwafuata, je wangekuwa hawapo ingekuwaje????
leo mpwa nimekula ya ngisi, sijui itanidhuru!huku kujaribu jaribu nako ni hatari sana!
finest acha dhambi mungu apend
achen akili izo jaman mungu apend
mchangani mpwa, si unajua nyimbo zote zinachezwa huko!!!!!!!!kiduku,mnanda, taarabu, mduara........!!!!!!!!!!!!!
du,huyo mpwa kweli anajua kuchungulia!chonde chonde natamani asimwambie mtu yule niliekuwa nae!aishie hapo hapo!
malaika wa bwana travertine!!:confused2::confused2::confused2:we acha fujo!!!!!!!!nilikuwa na malaika wa bwana!
malaika wa bwana travertine!!:confused2::confused2::confused2:
Mpwa supu ya pweza imepanda kweli leo
finest acha dhambi mungu apend
achen akili izo jaman mungu apend