Niliulizwa mimi nikakosa jibu, labda unisaidie wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

bacha

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
4,282
Reaction score
797
Hivi ingekuwa vipi, kama machangudoa wasingekuwepo, kasi ya kuibiana wapenzi ingeongezeka?

sijui wewe utajibuje?
 
Machangudoa wapo wengi tu na kasi ya kuibiana wapenzi bado ipo sasa hapo unategemea nini wala hakuna difference yoyote ile hebu fikiria sasa hivi hao wanaojiuza wengi ni wanawake na wateja wao ni wanaume ambao hao hao wanaume wana wapenzi wao tena wengine wameoa kabisa na bado akitoka hapo anaenda kutembea na mke wa mtu mwingine pia wewe kasi itapungua vipi
 
nimekuelewa mpwa, ndo maana kama tu sasa hivi machangudoa wapo na watu bado wanaacha wake zao na kuwafuata, je wangekuwa hawapo ingekuwaje????
 
Mpwa watu wangeendelea ku du ze nidful kama kawaida bila kujali wewe ni nani au ni mke wa fulani au mume wa fulani
 
Mhhh hiyo mechi unayoenda kucheza ni ya MCHANGANI au UWANJA WA TAIFA?

mchangani mpwa, si unajua nyimbo zote zinachezwa huko!!!!!!!!kiduku,mnanda, taarabu, mduara........!!!!!!!!!!!!!
 
finest acha dhambi mungu apend
achen akili izo jaman mungu apend
 
mchangani mpwa, si unajua nyimbo zote zinachezwa huko!!!!!!!!kiduku,mnanda, taarabu, mduara........!!!!!!!!!!!!!

Kuna mpwa aliniambia alikuona Travertine pale magomeni juzi kwenye taarabu
 
du,huyo mpwa kweli anajua kuchungulia!chonde chonde natamani asimwambie mtu yule niliekuwa nae!aishie hapo hapo!
 
Mi nadhani wasingekuwepo atleast Watu wangetulia na Wake/Waaume zao, unajua uwepo wao unarahisisha zaidi ngono, bt kama hawapo ni wale wanaume/ke wanao dare kutafuta na kufuatilia wanawake/wanaume ndio watabaki katika game, ........................... Si unajua Changudoa haina kazi kumpata...
 
Back
Top Bottom