aliye kuwa Waziri wa Ardhi Jery Slaa ni miongoni mwa Mawaziri walio fanya kazi kubwa ya kuwatetea wanyonge walio dhulumiwa haki zao za umiliki wa ardhi/viwanja/nyumba na matajiri wenye mipesa. Hakika Jeri alikiwa mwiba mkali kwa matajiri matapeli.
Wananchi wanyonge tunamlilia Jery Silaa kuondolewa kwenye wizara hii. hatuna cha kufanya bali aliye mteua ndio anajua zaidi.
Tunamtakia kila la heri kwenye Wizara ya Habari.
Tjnamsema haswa Jery Slaa, aliimudu sana Wizara ya Ardhi, alipambana sana kuwatetea wananchi waliokuwa wamedhulumiwa hali zao za nyumba/viwanja na watu wenye pesa.Mawaziri wanatangatangishwa kwenye wizara deile.
Sijui hata kama wanapata nafasi ya kutulia na kuzifahamu na kuzihudumia wizara zao vizuri?
Kwa mtaji huo tutegemee ufanisi kiutendaji uwe chini cha kiwango kila siku.
Kwa hiyo unasema serikali hapo imejipinga yenyewe?Tjnamsema haswa Jery Slaa, aliimudu sana Wizara ya Ardhi, alipambana sana kuwatetea wananchi waliokuwa wamedhulumiwa hali zao za nyumba/viwanja na watu wenye pesa.
alijitoa muhanga. alichukiwa sana na matajiri.
je kapigwa majungu na matajiri?
tunaiomba mamlaka ya uteuzi isisikilize makelele ya majungu.
Nikufahamishe tu kuhusu viongozi wa kisiasa, kiongozi mzuri kwako kwa utetezi na utatuaji wa matatizo yako ni adui kwa viongozi wake kwani kwenye alichokutetea kimewaudhi wajuu yake.Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Jery Slaa ni miongoni mwa Mawaziri walio fanya kazi kubwa ya kuwatetea wanyonge walio dhulumiwa haki zao za umiliki wa ardhi/viwanja/nyumba na matajiri wenye mipesa. Hakika Jeri alikiwa mwiba mkali kwa matajiri matapeli.
Wananchi wanyonge tunamlilia Jery Silaa kuondolewa kwenye wizara hii. hatuna cha kufanya bali aliye mteua ndio anajua zaidi.
Tunamtakia kila la heri kwenye Wizara ya Habari.
Na ndio maana kama hujui uendako huwezi potea njia hata siku moja!! Kuunda mifumo imala kwa Afrika hii ni ngumu mno, kwani viongozi wenyewe wakuu kila leo ni kuwaz uchaguzi tu, na kujenga timu za ushindi!! Unafikiria jery slaa, hatua aliyokuwa amefikia, kwa kiasi chake alijitahidi, lakini mipango yote imekufa, anayekuja naye ataanza na yake, hapo kuna niniUkitegemea mtu ndo Afanye badala ya mfumo utaendelea kuumia sana kila siku Kwa Kuwa umezoea maigizo mjinga usiefikiri
hatuelewi shida ni nini!!Mama alishawahi kumsifia Slaa anafanya kazi vizuri ardhi. Sasa kwanini amemtoa!??
siamini kama hayo ni ya kweli.Za ndaaaani kabisa alishaanza kugusa mafaili ya ardhi ya familia za vigogo na wafadhili wa chama na kugundua udanganyifu na uozo mkubwa maeneo ya mbezi beach,masaki,mikocheni na kariakoo.
Hii nchi ukiwa kama Slaa,Kafulila,Zito utaishiwa kupigwa majungu na utashushwa chini kwa njia yoyote ile.
Asilimia mia ni kwelisiamini kama hayo ni ya kweli.
ili binafsi sipendi kuona wachapa kazi wanaharibiwa kwa majungu na fitina.
japo wenye fedha wana nguvu ya kufanya chochote ila inategemea Msimamo thabiti wa Mamlaka ya uteuzi.
naamini Rais wetu yupo imara sana.
Hujaumia kama Mimi aiseeAliyekuwa Waziri wa Ardhi Jery Slaa ni miongoni mwa Mawaziri walio fanya kazi kubwa ya kuwatetea wanyonge walio dhulumiwa haki zao za umiliki wa ardhi/viwanja/nyumba na matajiri wenye mipesa. Hakika Jeri alikiwa mwiba mkali kwa matajiri matapeli.
Wananchi wanyonge tunamlilia Jery Silaa kuondolewa kwenye wizara hii. hatuna cha kufanya bali aliye mteua ndio anajua zaidi.
Tunamtakia kila la heri kwenye Wizara ya Habari.
wapenda haki na watetezi wote wa haki za wanyonge wameumizwa sana kwa kuhamishwa kwa JEMBE JERY SLAA kutoka Ardhi. ila hatuna cha kufanya, imempendeza mwenye mamlaka.Hujaumia kama Mimi aisee