Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Jery Slaa ni miongoni mwa Mawaziri walio fanya kazi kubwa ya kuwatetea wanyonge walio dhulumiwa haki zao za umiliki wa ardhi/viwanja/nyumba na matajiri wenye mipesa. Hakika Jeri alikiwa mwiba mkali kwa matajiri matapeli.
Wananchi wanyonge tunamlilia Jery Silaa kuondolewa kwenye wizara hii. hatuna cha kufanya bali aliye mteua ndio anajua zaidi.
Tunamtakia kila la heri kwenye Wizara ya Habari.
Wananchi wanyonge tunamlilia Jery Silaa kuondolewa kwenye wizara hii. hatuna cha kufanya bali aliye mteua ndio anajua zaidi.
Tunamtakia kila la heri kwenye Wizara ya Habari.