MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Asante
Asante
Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.
Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine
Kuenjoy sio advice ameshakua mama mwenye mtoto mkubwa hakuna Mwanaume pasua kichwa tatizo mmeangukia kwenye wrong turnWanaume wenyewe hawa pasua kichwa lea mwanao kuliko kujutaftia stress mpya,tafuta waku enjoy naye lkn sio mambo yakuwekana ndani tena
naomba nikuulize swali, ivi mnavutuumizaga sisi mnafikiria sisi tuna roha za aina gana?Asante nafanya kazi nashukuru na maisha yanaenda
AminaKama ilivyo avatar yako pole saana!!
Tuliza akili na moyo wako, kupata amani na amani ya kweli
mtafute Bwn Yesu atakupa amani na utulivu wa kweli!!
Usidharau mtafute Bwn Yesu kwa moyo wako wote usiyumbishwe na mtu au kitu chochote maana maisha ni ya kwako mwenye!!
Matokeo mengine itakuwa ni baraka za Bwn Yesu , hata ulinzi
ni baraka za Bwn, mengine yatafuata baada ya kumpata Bwn Yesu!!