Nilivyo-date na jirani yangu bila kujua

Nilivyo-date na jirani yangu bila kujua

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Miezi kazaa imepita, nilikuwa Dar es salaam kwa mishe mishe; mida ya saa nne usiku baada ya kupata chakula na kinywaji nikawa 'bored' na mazingira ya hotel, nikaona sitendei haki chumba kile kuwa peke yangu, ndipo nilipochukua 'laptop' yangu nakuingia mtandao fulani wa 'dating', na kuanza kuangalia 'sample' zilizopo dunia hii.

Ndipo nikaanza ku-chat na 'sample' iliyonipendeza, na hatimaye tukafikia muafaka inabidi aje hotelini nilipofikia. Baada ya kufika, kweli alikuwa 'full romantic' tukashea abc na baadaye kutimiza kilichomleta.

Baada ya kuongea kwa kina, nikagundua ni jirani yangu anamalizia kujenga nyumba yake; mbaya zaidi mpaka kwangu anapafahamu, ila hanifahamu mimi kutokana na kuwa mtu wa safari safari.

Sasa najiuliza, kwa mazingira haya, nimeshatembea na jirani yangu; nifanyeje ili kuinusuru ndoa yangu.
 
Hapo vitapashwa viporo hadi mother house agundue🤫 hivi hizo dating site ni za kununulia Mbususu ? Au huu ni ushamba wangu tu.
Kinachosaidia mie sio mkaaji wa sehemu moja, kuhusu hizo 'site' uko sahihi hasa kwenye huduma za kupata mtu wa kukupa kampani
 
"Shoga nimepata bwana huyo anajua kugegeda sana nilikutana nae geust Dar nampigia hata simpati" huyo malaya akiwa anampa story mkeo. Mara unakuja kwa mbali" eeeh shosti bwana mwenyewe ndio huyo nilikuwa nakupa story zake". Hizi kauli tarajia kukutana nazo.

Usije kumpa mkeo kazi ya kusimamia ujenzi na kununua materials. Kuna uwezekano mkubwa akaliwa na fundi ama muuza vifaa vya ujenzi. Huyo mama anayejenga jirani nawe ni mke wa mtu. Na wewe umeoa lakini unaendeleza umalaya.
 
"Shoga nimepata bwana huyo anajua kutoambwa sana nilikutana nae geust dar nampigia hata simpati" huyo malaya akiwa anampa story mkeo. Mara unakuja kwa mbali" eeeh shosti bwana mwenyewe ndio huyo nilikuwa nakupa story zake". Hizi kauli tarajia kukutana nazo.
Usije kumpa mkeo kazi ya kusimamia ujenzi na kununua materials. Kuna uwezekano mkubwa akaliwa na fundi ama muuza vifaa vya ujenzi. Huyo mama anayejenga jirani nawe ni mke wa mtu. Na wewe umeoa lakini unaendeleza umalaya.
ha ha ha ha
 
Miezi kazaa imepita, nilikuwa Dar es salaam kwa mishe mishe; mida ya saa nne usiku baada ya kupata chakula na kinywaji nikawa 'bored' na mazingira ya hotel, nikaona sitendei haki chumba kile kuwa peke yangu, ndipo nilipochukua 'laptop' yangu nakuingia mtandao fulani wa 'dating', na kuanza kuangalia 'sample' zilizopo dunia hii. Ndipo nikaanza ku-chat na 'sample' iliyonipendeza, na hatimaye tukafikia muafaka inabidi aje hotelini nilipofikia. Baada ya kufika, kweli alikuwa 'full romantic' tukashea abc na baadaye kutimiza kilichomleta. Baada ya kuongea kwa kina, nikagundua ni jirani yangu anamalizia kujenga nyumba yake; mbaya zaidi mpaka kwangu anapafahamu, ila hanifahamu mimi kutokana na kuwa mtu wa safari safari. Sasa najiuliza, kwa mazingira haya, nimeshatembea na jirani yangu; nifanyeje ili kuinusuru ndoa yangu.
Unakaa Hotelin mkoa unaoishi?
 
Back
Top Bottom