Nilivyo-date na jirani yangu bila kujua

Nyie ni watu wazima hakuna ajabu hapo wasiwasi wako tu hebu kuwa na amani unadhani mpaka akugande una kipi ambacho hajawahi kukutana nacho kwenye idara ya mpenzi?? HANA TIME NA WEWE AMEFUATA PESA TU.
 
Nifanyeje ili kuinusuru ndoa yangu...................
Wewe hujitambui na utakuwa ni under 30 asiyejitambua.Una utoto mwingi.
 
Imewahi kunitokea Mkoa mmoja nilinunua mzigo baadaye kwenye kuelezana Historia za maisha nikagundua ni Wa nyumbani kabisa na mbaya zaidi amesoma na Sista darasa moja.

Huyo Jirani anajitahidi kuendeleza ukaribu na Mteja wake ili siku nyingine mfanye tena biashara, wala hawezi kukuharibia Kwa mkeo maana atapoteza mteja. Kuwa na amani kabisa..
 
Sheria ya Umalaya ni kuwa hata mkikutana Ndugu kwenye umalaya wenu huwa siri inabaki baina yenu, huwezi kuisikia Kwa mwingine abadani.

Ikivuja basi umekutana na amateur kwenye hiyo sekta.
 
Kweli mkuu,alisema yote yanaishia pale pale
 
Unaweza kutufafanulia ndoa yako iko hatarini kiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…