Nilivyo Jariwa na Mwenyezi Mungu

Mara 3 Mungu ananiepusha ktk matukio ya Ajabu mwenyewee.
Vipi kwenye upande wa kutoa sadaka kupitia hicho Mungu anachokujalia kwenye biashara? Unatoa fungu la kumi kwa wahitaji?
 
Embu fanya tujaribu kupendana nione kama kweli hupendeki hauna mvuto nije kuthibitisha hapa
 
Nilivyo jariwa no, nilivyojaliwa yes. Mods nao wansukuma hivyo hivyo tu.
 
Straight like a ruler, safi sana. Action speaks louder than words, hebu mmwagie mawili matatu via DM naamini mtayajenga tu.
Weeee.... online huku ndo Kuna matapeli kama wanavyolizwa watu kuagiza magari Japan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…