mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Ilikuwa majira ya saa sita usiku natoka zangu kuangalia mpira wa simba yanga naelekea kufuata usafiri ni juzi kati tu hapo basi nikiwa nimetembea kilometa kama 3 hivi nakuanza kuacha hako kakijiji nikiwa ndani ya kamsitu kama mita tano upande wa kushoto wa barabara ndan ya hiko kimsitu kina makaburi
Ghafla nakuta nywele zinasisimka taa nyekund ya kichwa ikawaka kuashilia kuna jambo si lakawaida sekunde 40 haijafika nakuta kitu mbele kilikotokea hakijulikani kimekaa uelekeo niendako nikajiambia nikimbie na kujijibu hapana mana kurud nilikotoka si suala dogo punde nasikia sauti mr pipa unaenda wapi? Kwa saut ya kike ya demu wangu wa zamani ambae tuliachana miaka kumi nyuma,, ile najiuliza nikajikuta namuuliza kwa kizungu what is your name?
Asee nilikula kofi moja nikasema kumbe upo seriouz, nikavunja lifimbo nakumbuka nilipiga yule kibwengo mpaka nikavunja mguu wake nakuta tu kinalia usiniue naishabikia team ya simba wanachama wataumia sana kusikia nimekufa nikamjibu kwakuwa mmefungwa enenda kwa aman