Nilivyo mpiga kibwengo/ndondocha mpaka kumvunja mguu

Nilivyo mpiga kibwengo/ndondocha mpaka kumvunja mguu

Baada tu ya kuwatania makolo hapo mwisho wa story, mimi kama paroko wa jimbo hili nasema umesamehewa dhambi zako
 
Na Ni Ya Moto haswaa
_20240210_123424.JPG
 
Dah Asante mdogo wangu sijacheka kutwa nzima nipo tu ndani nahisi homa niko na simanzi maana sijaonja ulanzi siku nzima ,nikipiga simu niletewe naambiwa umeisha .
Hivyo weekend yangu inaisha vibaya japo wewe unanifurahisha na ukatuni wako
kamalizie na mechi ya Yanga
 
nikajikuta nakomenti kwa kizungu, This is tea
 
Illa mr pipa nimekumiss kule kwenye code mkuu. Yan kumepoa sanaa fanya hata ututembelee
mkuu nakuja kule ndio home nilikuwa nasubiri ligi naona limeanza nabii wa mikeka lazima nije kuwa toa waambie waandae mia mia nakuja na matren ya mwaka,, yule jamaa yetu mzee wa msimu huu lazima nile bilion 2 aka afisa ubashir asee mwamba alizingua sana akajua bilion ni kama kupanda s.g.r mwambie nakuja na kibwengo wa simba
 
Nabii mr pipa Kasema ngoja nipeleke salam kwa wakuu wajiandae kuvuna
 
Ilikuwa majira ya saa sita usiku natoka zangu kuangalia mpira wa simba yanga naelekea kufuata usafiri ni juzi kati tu hapo basi nikiwa nimetembea kilometa kama 3 hivi nakuanza kuacha hako kakijiji nikiwa ndani ya kamsitu kama mita tano upande wa kushoto wa barabara ndan ya hiko kimsitu kina makaburi

Ghafla nakuta nywele zinasisimka taa nyekund ya kichwa ikawaka kuashilia kuna jambo si lakawaida sekunde 40 haijafika nakuta kitu mbele kilikotokea hakijulikani kimekaa uelekeo niendako nikajiambia nikimbie na kujijibu hapana mana kurud nilikotoka si suala dogo punde nasikia sauti mr pipa unaenda wapi? Kwa saut ya kike ya demu wangu wa zamani ambae tuliachana miaka kumi nyuma,, ile najiuliza nikajikuta namuuliza kwa kizungu what is your name?

Asee nilikula kofi moja nikasema kumbe upo seriouz, nikavunja lifimbo nakumbuka nilipiga yule kibwengo mpaka nikavunja mguu wake nakuta tu kinalia usiniue naishabikia team ya simba wanachama wataumia sana kusikia nimekufa nikamjibu kwakuwa mmefungwa enenda kwa aman
Uzuri na yeye alikulamba kofi la maana
 
Back
Top Bottom