Nilivyoangalia kikosi cha Yanga SC dhidi ya Azam FC, historia ya mabao mengi kuandikwa leo Mapinduzi Cup

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kwa namna nilivyoangalia kikosi cha Yanga SC kinachoanza leo dhidi ya Azam FC kwenye michuano ya Mapinduzi Cup, Yamkini historia ya mabao mengi itaandika leo kwenye uwanja wa Aman, Zanzibar

Azam FC, hawafungi mabao mengi sana msimu huu, lakini hii fursa walitamani na sasa muda muafaka wa kuweza kuweka Kumbukumbu kwa ajili ya vizazi vijavyo huko mbeleni.

Hapa kwa kitakachojiri kwa Yanga kwenye dimba la Aman Stadium ni mauaji ya Sharubela yatakayofanyika ya kujitakia kwani Cecafa alisema anakabiliwa na michuano ya Kimataifa, je Mapinduzi.?

Kwangu sitaangalia huu mchezo ila mtanisimulia yatakayojiri.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mambo ya Yanga 0 - 2 Azam natamani ndo yangekuwa ya Ligi Kuu.

Naomba na kwenye TPL iwe hivi hivi au zaidi ya hapo.
 
Usijidanganye mkuu.. Ligi kuu Droo kwetu ndo kipigo/kufungwa
Imani yangu sikuzote ilikuwa siku Yanga ikikutana na Azam TPL lazima kutakuwa na matanga Jangwani.Ila nimesikitika mmecheza mapema,na hii itawafanya mjiandae vilivyo na hivyo kuifanyana head-to-head ijayo iwe ngumu.

Hiki kikombe cha Mapinduzi kitaharibu hesabu za Azam.
 
Ki Msingi hii mechi ni pacha na ile ya Blackpool v/s Arsenal
 
Azam leo amecheza na wachezaji wa yanga wa aina gani? Yanga ndio walioweza kunufaika kwa kujua aina ya mchezo na mbinu za Azam. Azam kwa bahati mbaya wamecheza na kikosi ambacho hakitacheza nacho kwenye mechi ya ligi kuu wakati wameweka full mziki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…