Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Una akili sana mkuu!!!Azam leo amecheza na wachezaji wa yanga wa aina gani? Yanga ndio walioweza kunufaika kwa kujua aina ya mchezo na mbinu za Azam. Azam kwa bahati mbaya wamecheza na kikosi ambacho hakitacheza nacho kwenye mechi ya ligi kuu wakati wameweka full mziki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nimesema nimesikitika wamekutana mapema.Hii Mapinduzi Cup imeharibu mipango ya Azam,maana nina uhakika wangekutana kwenye TPL kabla ya leo Yanga wangekalishwa tu (kama ambavyo imetokea leo).Azam leo amecheza na wachezaji wa yanga wa aina gani? Yanga ndio walioweza kunufaika kwa kujua aina ya mchezo na mbinu za Azam. Azam kwa bahati mbaya wamecheza na kikosi ambacho hakitacheza nacho kwenye mechi ya ligi kuu wakati wameweka full mziki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi kinachotoa uhakika wa yanga kufungwa na Azam laiti kama mechi zingekutanishwa kabla ya hii mapinduzi, ikiwa Yanga ina mwalimu tofauti na pia kuna wachezaji tofauti na wale waliokuwa msimu uliyopita na alkadhalika hata Azam wana mwalimu na wachezaji pia tofauti na wa msimu uliopita. Hivyo hata mbinu ya kimchezo umebadilika. Naomba sababu inayokufanya umpe azam ushindi wa moja kwa moja badala ya kutoa 50 kwa 50?Ndo maana nimesema nimesikitika wamekutana mapema.Hii Mapinduzi Cup imeharibu mipango ya Azam,maana nina uhakika wangekutana kwenye TPL kabla ya leo Yanga wangekalishwa tu (kama ambavyo imetokea leo).
Yanga tu.. Dunia nzima in Ligi kuuLakini tumeelewana vilivyo wadau kwamba hakuna timu Unbeaten sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaonekana ni jinsi gani kauli ya unbeaten kwa Yanga inavyokuuma. Hata liverpool alifungwa na Napoli pamoja na Psg kwenye champions league, lakini akaendelea kuwa unbeaten kwenye ligi kuu ya uingereza mpaka pale walifungwa juzi na man city.Lakini tumeelewana vilivyo wadau kwamba hakuna timu Unbeaten sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app