Nilivyochuniana na mke wa mtu kisa nili underperform

Nilivyochuniana na mke wa mtu kisa nili underperform

Vifaranga200

Senior Member
Joined
Oct 28, 2022
Posts
163
Reaction score
177
Nisikuchoshe.

Huyu mwanamke nilitafuta kila njia kuachana naye.

Alistukiwa na mumewe na akaniambia amestukiwa, hakujua anani alert, nikajisemea ni Muda sahihi kuachana na kukimbia mbio.

Siku moja nilimpiga mambo, show ilikuwa chini ya kiwango, yaani Ile ilikuwa sshow ya kichovu.

Baada game ikawa ntolee. Nijisemea Asante show mbovu.
 
Aliamua kukutema tu,kama alikuvumilia ulipo mkaza vzur atashindwa vp kuchukulia poa show mbovu,halaf ndio mara ya kwanza inatokea
 
Kwenda huko na mistari yako.

Mnataka tulete pesa Chachi Neva
Unajiona Mjuaji kujisifia kutembea na wake za watu

KARMA itakutafuna wewe au kizazi chako

Kutoka 20:5 BHN

Nami Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha hao wanichukiao.
 
Unajiona Mjuaji kujisifia kutembea na wake za watu

KARMA itakutafuna wewe au kizazi chako

Kutoka 20:5 BHN

Nami Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha hao wanichukiao.
Peleka ujuaji na matacle wako huko.

Wachungaji wengine wezi wezi tu hamna lolote..

Huku jf unakuja kuhubiri..bas hubiri acha genye
 
Back
Top Bottom