Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Sukuma gang unamfahamu victoire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu chek PM tafadhaliEneo lenyewe lenye nyumba hii lina uwanja mkubwa sana wa 800sqm nyumba hii ni ndogo tu imetumia sqm75 tu.. bado sqm 725 ziko wazi kwa ajili ya nyumba kubwa
Watu wanatafuta LIKES, COMMENTS na REPLIESAnachangamsha genge ,kaiokota twitter huko
Upo mkoa gani mzeya
Sina picha ya mchana kwa sasaSasaaaa mbona hiyo ramani tu tuonyeshe nyumba kabisa
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Sina picha ya mchana kwa sasaView attachment 2071517
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hao wanaolala kwenye Bedroom isiyokuwa na choo watajisaidia wapi au wanagonga mtawafungulia mkiwa mmelala!Habari wana JF!
Uzi....
Mwaka 2017 nilikuwa na rafiki yangu akaniambia kuna mahali panauzwa Viwanja akashauri twende kuangalia, Mimi sikuwa na pesa kwa wakati ule ila nilienda, tulipofika kweli tukakutana na wahusika na viwanja vilikuwa vizuri tukaongea, kwakuwa mimi Sikuwa na kitu niliomba kile kiwanja niwe nalipa kwa installment, wakakulali nikawalipa pesa yao ndani ya kipindi fulani. Baada ya hapo nikawa na changamoto ya namna ya kukilinda kiwanja sababu eneo hilo palikuwa na janja janja flani hv so nikaamua kumwaga mawe ili kulinda eneo,
Nakumbuka nilikuwa namwaga trip moja kila mwezi, baada ya trip kadhaa nikaona pia haitoshi nikawa nalipia tofali kidogo kidogo. Nikawa sasa naanza kuwaza kujenga, nikawa natafuta ushauri kwa watu mbali mbali na mwisho nikaenda kwa architec akanichorea kabisa ramani ya dream house, [emoji28] Sasa bhana katika ile dream house nikamtafuta fundi anipe makadirio alooo [emoji848][emoji849] nilipewa bajeti yangu ya miaka kama 10 hivi nikashtuka kidogo, Yaani ni hivi nilipiga hesabu ya kujenga ile nyumba nikagundua kuwa kutoka na kipato changu itanichukua si chini ya miaka 10 kumaliza, Yaani nitaishi kwenye nyumba ya kupanga nikilipa tena kodi kwa miaka 10 huku nimewekeza pesa zangu site na siwezi kizitumia. Sasa nikaona isiwe kesi nikarudi home nikamshirikisha Mke wangu, tukaona itakuwa ngumu kwetu hvyo tukakubaliana kuwa tufanye ujenzi ambao utaisha ndani Ya muda mfupi ili tuweze kujenga dream house lakini wakati huo huo tuwe tunaishi kwetu ambapo tutaishi kwa uhuru bila manyanyaso wala masimango ya mtu.
Basi kwa mfumo ule ule wa kuweka kidogo kidogo tulipambana na hatimae 2021 tulihamia kwenye nyumba yetu rasmi...
MWISHO:
Thread hii nimeandika kwa lengo la kukutia moyo na hamasa kuwa hatuhitaji pesa nyingi ndio tujenge, tunahitaji kujenga future zetu tungali bado vijana. Mambo yale yanayohitaji nguvu kubwa yote tuyafanye sasa tukiwa bado wadogo na ikiwa bado hatuna wategemezi wengi.
View attachment 2070738
Huoni choo cha public? Acha uduanziHao wanaolala kwenye Bedroom isiyokuwa na choo watajisaidia wapi au wanagonga mtawafungulia mkiwa mmelala!
HakikaTunatofautiana kipato usishangae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]We jamaa inaonekana unapenda sana kula , yaani chumba chako umeweka karibu kabsa na jikoni
Mkuu imetumia tofali ngapiHuoni choo cha public? Acha uduanzi
Mkuu tofali 300 au elfu 3?hongera mkuu nakumbuka nilianza ujenzi na tofali 3000 za mkopo, alafu zikaishia msingi nilidata
nimetumia jumla tofali 6200 kwenye nyumbaMkuu tofali 300 au elfu 3?
Kama ni elf tatu hilo ni booonge la mjengo hongera sana
Nakushauri na narudia kukushauri, ukijenga tena Jenga kama hii kwenye kiwanja hicho hicho utakuja kunishukuru.Plan za nyumba kubwa ndio zilinifanya nichelewe kama akili ingewaza mapema hii kitu ya kuanzia basi huenda ningeipata ndani ya mwaka ule.