Nilivyojenga kiutani utani. Anza na ulicho nacho

Eneo lenyewe lenye nyumba hii lina uwanja mkubwa sana wa 800sqm nyumba hii ni ndogo tu imetumia sqm75 tu.. bado sqm 725 ziko wazi kwa ajili ya nyumba kubwa
Mkuu chek PM tafadhali
 
Sasaaaa mbona hiyo ramani tu tuonyeshe nyumba kabisa
 
Hao wanaolala kwenye Bedroom isiyokuwa na choo watajisaidia wapi au wanagonga mtawafungulia mkiwa mmelala!
 
hongera mkuu nakumbuka nilianza ujenzi na tofali 3000 za mkopo, alafu zikaishia msingi nilidata
Mkuu tofali 300 au elfu 3?
Kama ni elf tatu hilo ni booonge la mjengo hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…