Nilivyojenga kiutani utani. Anza na ulicho nacho

Ndio shida ya kujenga nyumba ndogo,lazima tu badae utataka kujenga kubwa
Sasa huoni hio kubwa utaijenga kwa raha zaidi maana unakuwa hudaiwi na mtu! Mie ntajenga pia kwa mtindo huu huu! Itokee nimeotea 30M siwezi anza kujenga jumba kubwa tu ghafla ntajenga nyumba ya kuanzia life kisha nyengine ntaongeza baada ya kuacha kulipa kodi!
 
Ndugu yangu,kwani bqdo hujaanza life??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…