Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo busara za uzee wako huu?JF imevamiwa na Watoto wa Chekechea.......
Ndiyo busara za uzee wako huu?
unamuiga slim5 kusema itaendelea. Afadhali mwenzako alikuwa anavuta story inakuwa ndefu na vichembezo vya hapa na pale. Wewe story yako ipo dry na fupi then unatuambia itaendelea. Kweli utunzi ni.vipaji, na wewe huna hicho kipaji.
Acha wivu wa kijinga ww dogo kajitahidi sana na hata spelling errors kwake ni chache sana, wengine humu maneno mistari miwili tu na huwezi elewa nini anamaanisha due to spelling error ijekuwa yy story ndefu but no such mistakes!
Kijana story ni nzuri sana waweza kuwa mtunzi/muandishi mzuri sana ikiwa utajiendeleza......keep it up