Nilivyokimbia bar Mbagala

Nilivyokimbia bar Mbagala

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Weekend iliyopita nilikuwa bar moja ukipita Dar live upande wa kushoto.

Saa moja usiku nipo counter, kaja dada mmoja ile kumuangalia tu kosa, kanifata ananinong'oneza chumba 5000 na mimi 5000 kwampalange tunaenda hata sikujua nijibu nini. Sitakuja tena Mbagala bakini huko na ushenzi wenu. Acha nibaki kwetu Kinondoni baby.
 
Mzinzi mkubwa wewe
 
Nijuavyo mimi ni kwamba 99% ya wanaume wa Kinondoni wanaliwa kwa mpalange.

Huenda hata wewe upo kwenye 99% hiyo mkuu.
Hiki kijamaa nina wasiwasi nacho 99.9% maana sababu alizotoa za kukimbia hiyo sehemu hazina mashiko, inaonesha dhahiri yeye ndio alienda hapo kutoa huduma sasa alivokuta watoa huduma husika wapo akaamua kutoka nduki
 
Ulimuangalia kwa macho gani? Yaani kwa namna ipi?

Unajua macho ni majanja sana. Unaweza ukamuangalia mtu kwa kumtishia. Unaweza kumuangalia kiudadisi. Unaweza kumuangalia mtu kwa kumuita na kutaka kufahamiana naye.

Dada hana shida, bila shaka Ulimuangalia kwa macho ya matamanio naye akayatafsiri vema kabisa, ujumbe ukafika.

Akajibu kwa kukufuata.. Unaanza kutetemeka.

Pole Sana.. Komesha macho yako.
 
hiki kijamaa nina wasiwasi nacho 99.9% maana sababu alizotoa za kukimbia hiyo sehemu hazina mashiko, inaonesha dhahiri yeye ndio alienda hapo kutoa huduma sasa alivokuta watoa huduma husika wapo akaamua kutoka nduki
Nitake radhi
 
Back
Top Bottom