Nilivyokimbia bar Mbagala

Nilivyokimbia bar Mbagala

Ulimuangalia kwa macho gani? Yaani kwa namna ipi?

Unajua macho ni majanja sana. Unaweza ukamuangalia mtu kwa kumtishia. Unaweza kumuangalia kiudadisi. Unaweza kumuangalia mtu kwa kumuita na kutaka kufahamiana naye.

Dada hana shida, bila shaka Ulimuangalia kwa macho ya matamanio naye akayatafsiri vema kabisa, ujumbe ukafika.

Akajibu kwa kukufuata.. Unaanza kutetemeka.

Pole Sana.. Komesha macho yako.
Hela imekuwa ngumu sana kwa Dada zetu
 
Weekend iliyopita nilikuwa bar moja ukipita Dar live upande wa kushoto.
Saa moja usiku nipo counter, kaja dada mmoja ile kumuangalia tu kosa, kanifata ananinong'oneza chumba 5000 na mimi 5000 kwampalange tunaenda hata sikujua nijibu nini. Sitakuja tena Mbagala bakini huko na ushenzi wenu. Acha nibaki kwetu Kinondoni baby.
Nitaenda huko kesho..Asante saana kwa taarifa[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndio jina lake?
Cha ajabu nje tu hapo machinga wamepanga bidhaa zao wanauza
Yaah mkuu.....

Mbagala ndivyo hivyo ilivyo....unataka watu wake waishi kama wakazi wa ADA ESTATE?!!!

Mbagala ndiko KITONGOJI na JIMBO lenye RAIA WENGI kuliko MAJIMBO YOTE NCHINI(sensa ya 2012).

Maisha ya Mbagala ni rahisi na mepesi kwa KIJANA yeyote aanzaye kutafuta MAISHANI.....
 
Ila Kinondoni sio bei rahisi kiasi hicho.
Sasa utamuuzia nani bei ghali iwapo buku 3 mtu anakula siku nzima?!!!

Ujue mkuu wangu kule Mbagala SUPU YA MAPUPU NA MAKWASUKWASU ya buku na ndimu pembeni ,maandazi ya JERO unapata nguvu ya KUBETI NA KULALA VYEMA TU USIKU.....🤣
 
Back
Top Bottom