Nilivyokimbia bar Mbagala

Hela imekuwa ngumu sana kwa Dada zetu
 
Nitaenda huko kesho..Asante saana kwa taarifa[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndio jina lake?
Cha ajabu nje tu hapo machinga wamepanga bidhaa zao wanauza
Yaah mkuu.....

Mbagala ndivyo hivyo ilivyo....unataka watu wake waishi kama wakazi wa ADA ESTATE?!!!

Mbagala ndiko KITONGOJI na JIMBO lenye RAIA WENGI kuliko MAJIMBO YOTE NCHINI(sensa ya 2012).

Maisha ya Mbagala ni rahisi na mepesi kwa KIJANA yeyote aanzaye kutafuta MAISHANI.....
 
Ila Kinondoni sio bei rahisi kiasi hicho.
Sasa utamuuzia nani bei ghali iwapo buku 3 mtu anakula siku nzima?!!!

Ujue mkuu wangu kule Mbagala SUPU YA MAPUPU NA MAKWASUKWASU ya buku na ndimu pembeni ,maandazi ya JERO unapata nguvu ya KUBETI NA KULALA VYEMA TU USIKU.....🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…