Nilivyokutana na 'singo maza wa kiarabu'

Nilivyokutana na 'singo maza wa kiarabu'

Aisee huyo singo maza wa kiarabu,acha kabisa,alikuwa mtamu sijapata kuona,na aliunganisha na watu nyie acheni tu. Hebu niwapeni hii habari:

1.Maisha katika wilaya mmoja mkoani Tabora.
Nikiwa toka darasa la saba namuona huyo mama maana alikuwa jirani na sisi,ni mtu mmoja mrembo,mweupe sana na alikuwa akifanya biashara na alikuwa akitembea na matajiri matajiri tu.Kila nilipokuwa nakutana nae nilikuwa namuamkia kwa heshima na adabu.

Nikamaliza kidato cha 4 bado namuona na tunasalimiana vizuri tu,nikamaliza kidato cha 6 nikawa nipo hapo kwetu nasubiri maamuzi ya wazazi wangu juu ya mustakbali wangu ww baadae na wakati huo nishakuwa active sexually na niliwahi kumla mdogo wake na huyo singo maza na nahisi alijua maana aliwahi kuniambia kitu fulani hivi,nikashtuka lakini hapakuwa na shida yoyote.

Siku moja nilisafiri hadi dar kwa treni kumsindikiza dada yangu ambae alikuwa anasafiri kwenda nje ya nchi kusoma.Tulipofika dar tulikaa kama siku 6 hivi,na kabla hajaondoka akanikagia tiketi ya treni dar to tabora first class,na alipoondoka mie nilikaa kama siku 2 ndipo nirejea kwetu kwa treni,dar to tabora na dada alinipa pesa za kutosha kabisa maana ilinibifi kulala tabora kabla ya kurejea hiyo wilaya niliyokuwa naishi.

Safari ilikuwa nzuri sana maana treni wakati huo ilikuwa nzuri sana,kila kitu kilikuwa kipo ok,buffet car chakula na vinywaji kila aina vilikuwepo,na watu walikuwa wakitembea huku na kule kwenye treni,kwa furaha sana.

Tukiwa safarini ghafla nakutana na huyo singo maza,akafurahi nami pia nilifurahi sana tukaongea na akanipeleka kwenye room yake na alikuwa na ndugu yake mwarabu fulani hivi ambae sikuwa namjua,maongezi njia nzima yalikuwa mazuri na nikawa napewa kila kitu,wakati wa msosi ananiambia twende wote na akawa analipa kila kitu Akaniuliza bia unakunywa nikamwambia ndio,ila sio sana,nikawa napewa bia but nilikuwa sizidishi bia 3.

Nami nikampeleka kwenye room niliyokuwepo na nilikuwa na mtu mmoja simkumbuki lakini alikuwa mhafhiri wa chuo kikuu cha udsm.Safari ikawa inanoga sana na akaniuliza tabora utalala wapi,maana treni hufika usiku,nikamjibu nitatafuta gesti,akaniambia usihangaike atatafuta yeye.

Nikasema ok. Basi maongezi yalinoga sana,tukafika tabora siku ya pili yake mida ya saa 4 usiku na huyo mama alishaandaa teksi ikatuchukua kuelekea hoteli,hatukuenda muda mrefu,tukafika hoteli,khiangalia ni tabora hotel.Nitaendeleza baadae kidogo​
Hapa umetupiga. Mwarahu tabora?
 
Naendelea sasa,Husna akavaa gauni moja hivi zuri akaniambia tutoke,hapo hajaongea kitu chochote zaidi ya maongezi ya kawaida tu,bwana we tukafika testaurant tukaagiza msosi na bia,tunakunywa,huku tunasubiri msosi,msosi ukaja tukala na mie nikanywa bia 3 husna akanywa 4 tukaondoka kwenda room,huko sasa ndio akaniambia wewe tulia na usimwambie mtu kama umelala na mie,iwe siri,nikamjibu sawa.Basi tulikulana vibaya na mie wakati huo stamina ilikuwa kubwa mno na nilimtia haswaaaa sio kidogo,tulilala mida ya saa 8 usiku na saa 11 alfajiri nikaomba mzigo nikapewa nikakanyaga sawasawa,ile saa 3 akaniambia tusiondoke,tulale tena siku ya pili hapo,nami nikasema sawa,tukalala.
ok
Safi sana,ulifanya majukumu yako vyema,hadi mbinguni walikuwekea vema
 
Sasa hiyo siku ya pili husna akaniambia,uko vizuri mno kitandani na akaniambia kuwa tukifika huko tunakoishi nipaite wilaya ya mkonze,tuendelee na mapenzi nami nikakubali,kesho yake tuliendebhuko mkonze tunakoishi na mara kwa mara tukawa tunakulana nyumbani kwake kwani alikuwa akiishi na wafanyakazi na watoto wake 2 walikuwa wakisoma sekondari jijini dar.Sasa siku moja akaniuliza vipi una mipango ipi ya kusoma? nikamjibu namsubiri kaka yangu ndio anayenisimamia,na yeye na kaka yangu wanajuana na fununu zilikuwa zinasema wanakulana.Akaniambia anataka kunikutanisha na tajiri mmoja yuko mkoa wa rukwa anatafuta mtu wa kumsimamia kazi,je nitakuwa tayari? nikamjibu mie nipo tayari lakini kaka yangu hatokubali,labda niombe ruhusa ya kwenda kutembea sumbawanga,then nikafanye hiyo kazi,basi husna akaniambia subiri,huku tunakulana baada ya wiki 2 nikaambiwa mambo yameiva,nikapewa nauli na husna barua nami nikamuaga kaka kuwa naenda sumbawanga kutembea,akaniruhusu na akanipa nauli na matumizi,nikapanda basi toka mkonze hadi tabora nikiwa na husna,tukalala wote na kesho yake nikaagana nae mie nikapanda treni ya mpanda usiku na nikafika mpanda kesho yake saa 6 na nikakuta basi la said ali lishaondoka,ikanibidi nilale gesti moja,na nikaenda nilipoelekezwa na husna na kukuta tkt yangu ya mpanda to sumbawanga ipo tayari,asb yake alfajir saa 11 nipo stendi na mida ya saa 12 asb basi likaondoka kwenda swanga.Safari ilikuwa ndefu mno na ina vituko vingi,lakini hatimaye mida ya saa 1 usiku nikafika swanga salama na nikaenda kwa ndugu zangu,nikapokewa kwa shangwe.Kesho yake nikaenda kwa yule mtu niliyeelekezwa kwake nikiwa na barua yangu ambayo nilipewa na husna,huyo mtu naomba nimwite,max ni mwarabu msomi ambae amesomea mambo kadhaa nje ya nchi,alinipokea vizuri mno na akaniambia,nijiandae kwenda nae namanyere kesho yake ambako ndio tutakapoongelea hiyo kazi.Nikasema sawa mie nikarejea nilipofikia.
Nitaendelea baadae na stori hii iliyonifikisha kirando mtakuja
Wilaya ya MKONZE... hahha code iko wazi na huyo single maza namjua😁
 
Naendelea na safari ya kutoka swanga kwenda namanyere.Safari ilianzia kwa huyo boss maeneo ya jangwani,ambako ndio alikuwa akiishi na mie nilitokea mazwi ambako kaka yangu alikuwa akiishi,niliamka saa 1 asb nikatembea kama dk 40 hivi nikafika jangwani,kwa bossbambae nilikuta kishajiandaa kwa safari,nilipewa chainya rangi na chapati nikanywa na nikaambiwa nipande gari aina ya landrover,nikapanda safari ikaanza.Baafa ya saa 3 tulifika chala,tukasimama kwenye hoteli moja ya msomali tukala chakula na hiyo hoteli ilikuwa maarufu sana.Tulikuwa hapo kwa saa moja hivi ndipo tukaanza safari ya kuelekea namanyere,safari ambayo ilituchukua saa kama 3 hivi na hatimae tukafika,nilipelekwa gesti moja ambayo ndio ilikuwa maarufu sana ilikuwa karibu ya ofisi za national milling na ilikuwa inamilikiwa na mama mmoja wa kinyakyusa.Hapo kulikuwa na vyumba,baa na restaurant ya chakula,huyo boss wangu yeye hakulala hapo alienda kulala kwa ndugu zake.Hiyo gesti nineisahau jina lakini ndio ilikuwa maarufu sana hapo namanyere na maboss wote walikuwa wanakuja hapo kuenjoy.Jioni yake walikuja maboss wengi na ndipo nikamfahamu mkuu wa wilaya ya nkansi somebody kipanga na mkrugenzi wa wilaya wakati huo akiitwa deo kithama,ambapo nikawa maraki kwao na nilienjoy mno na kama kawaida nilivuya mizigo mno,maana nilikula mademu mno wa kila rika, na watu walikuwa wanajua kuwa mie ni mtoto wa tajiri kumbe ni mtumishi tu.Baada ya ziku 2 nilipewa job description yangu bayo ni kusimamia shamba kubwa sana lipo kijiji kinaitwa china na kusimamia shughuli za uvuvi sehemu inayoitwa manda kerenge.Siku yakupelekwa saiti ilipofika nilipelekwa na boss mwenyewe kwa landrover moja kali mno,baadae ntaelezea maisha kwenye hiyo gesti ambayo yalikuwa mazuri mno masna huyo boss wangu alinipa kila sapoti,kuanzia malipo,heshima,usafiri na wao wuh wuh niliwala mademu acha tu.Nikafikishwa kwenye hilo shamba kwenye kijiji kinaitwa china ambapo kulikuwa na shamba lingine la mwarabu ambae alikuwepo hapo na hilo la boss wangu,nikalikagua lote,nikapewa orodha ya wafanyakazi na vibarua na nikaoneshwa nyumba ntakayoishi,ni ya matofali ya kuchoma na bati na nimewekewa kila kitu na mpishi wa kunipikia na mtu wa usafi.Kazi yangu ya kwanza itakuwa ni kufyeka shamba ili tupate eneo la kulima ngano,nilikabidhiwa kila kitu na wafanyakazi wote,na nikaambiwa kesho yake jioni ntapekwa kwa yule mwarabu mwingine mwenye shamba ambae ndio atakuwa rafiki yangu.Siku hiyo boss wangu alilala hapo kambini kwenye tent lake.Kesho yake saa 1 asb wafanyakazi wate walikusanyika hapo kwangu maana niliwaagiza hivyo na nikapanga vikosi kazi na viongozi wake,ambapo nilipanga idara kuu zifuatazo:
1.idara ya ufyekaji miti na maandalizi ya shamba
2.idara ya vifaa vya kazi,matengenezo na vipuri
3.idara ya chakula,matibabu na mahusiano ya wafanyakazi
4.idara ya fedha na utawala
Nikawapa siku moja wakuu wa idara waniletee kila mmoja mpango wa kazi.Jioni boss wangu alikuja kunipeleka kwa yule mwarabu mwenye shamba ambae alikuwa akikaa kama kilometa 30 toka shambani kwetu.Siku hiyo tulienjoy sana nyama choma na bia lakini mimi nilikunywa bia 2 tu,tukaagana tukarudi kambini kwetu.Kesho yake asubuhi saa 1 nilifanya kikao na hao wakuu wa idara,na boss wangu alihudhuria,boss wangu alishangaa jinsi nilivyopanga hizo idara na kila idara ikawa inawasilisha mpango kazi wake kwangu,by saa 4 tulimaliza kikao na boss akaniaga kwa kunitakila kila la kheri na akasema atakuja baada ya siku 20 ili kunipeleka kwenye kituo kingine cha kazi na walati huo tulikuwa tunatumia radio call maana simu za mkononi hazikuwepo.Nilipiga kazi siku 15 kazi ya hatari na nilikuwa narudi kambini saa 1 usiku kila siku.Mpishi wangu mama mmoja hivi nae hakuwa wa mchezo,ni mdada mmoja ni mchotara wa kizungu,ambae wenyejinwanadai baba yake alikuwa padri nahakupatiwa elimu zaidi ya darasa la 7 ila kwa kazi alifanya kazi kwelikweli,chai,chakula cha mchana na usiku,maji ya kunywa,usafi wa nyumba na pia nilikuwa nikitaka mademu yeye ndio alikuwa ananileta,basi acha kazi ilipigwa hapana mchezo.Nitaendelea tena baadae
 
Back
Top Bottom