Nilivyokutana na 'singo maza wa kiarabu'

Hapa umetupiga. Mwarahu tabora?
 
Safi sana,ulifanya majukumu yako vyema,hadi mbinguni walikuwekea vema
 
Wilaya ya MKONZE... hahha code iko wazi na huyo single maza namjua😁
 
Naendelea na safari ya kutoka swanga kwenda namanyere.Safari ilianzia kwa huyo boss maeneo ya jangwani,ambako ndio alikuwa akiishi na mie nilitokea mazwi ambako kaka yangu alikuwa akiishi,niliamka saa 1 asb nikatembea kama dk 40 hivi nikafika jangwani,kwa bossbambae nilikuta kishajiandaa kwa safari,nilipewa chainya rangi na chapati nikanywa na nikaambiwa nipande gari aina ya landrover,nikapanda safari ikaanza.Baafa ya saa 3 tulifika chala,tukasimama kwenye hoteli moja ya msomali tukala chakula na hiyo hoteli ilikuwa maarufu sana.Tulikuwa hapo kwa saa moja hivi ndipo tukaanza safari ya kuelekea namanyere,safari ambayo ilituchukua saa kama 3 hivi na hatimae tukafika,nilipelekwa gesti moja ambayo ndio ilikuwa maarufu sana ilikuwa karibu ya ofisi za national milling na ilikuwa inamilikiwa na mama mmoja wa kinyakyusa.Hapo kulikuwa na vyumba,baa na restaurant ya chakula,huyo boss wangu yeye hakulala hapo alienda kulala kwa ndugu zake.Hiyo gesti nineisahau jina lakini ndio ilikuwa maarufu sana hapo namanyere na maboss wote walikuwa wanakuja hapo kuenjoy.Jioni yake walikuja maboss wengi na ndipo nikamfahamu mkuu wa wilaya ya nkansi somebody kipanga na mkrugenzi wa wilaya wakati huo akiitwa deo kithama,ambapo nikawa maraki kwao na nilienjoy mno na kama kawaida nilivuya mizigo mno,maana nilikula mademu mno wa kila rika, na watu walikuwa wanajua kuwa mie ni mtoto wa tajiri kumbe ni mtumishi tu.Baada ya ziku 2 nilipewa job description yangu bayo ni kusimamia shamba kubwa sana lipo kijiji kinaitwa china na kusimamia shughuli za uvuvi sehemu inayoitwa manda kerenge.Siku yakupelekwa saiti ilipofika nilipelekwa na boss mwenyewe kwa landrover moja kali mno,baadae ntaelezea maisha kwenye hiyo gesti ambayo yalikuwa mazuri mno masna huyo boss wangu alinipa kila sapoti,kuanzia malipo,heshima,usafiri na wao wuh wuh niliwala mademu acha tu.Nikafikishwa kwenye hilo shamba kwenye kijiji kinaitwa china ambapo kulikuwa na shamba lingine la mwarabu ambae alikuwepo hapo na hilo la boss wangu,nikalikagua lote,nikapewa orodha ya wafanyakazi na vibarua na nikaoneshwa nyumba ntakayoishi,ni ya matofali ya kuchoma na bati na nimewekewa kila kitu na mpishi wa kunipikia na mtu wa usafi.Kazi yangu ya kwanza itakuwa ni kufyeka shamba ili tupate eneo la kulima ngano,nilikabidhiwa kila kitu na wafanyakazi wote,na nikaambiwa kesho yake jioni ntapekwa kwa yule mwarabu mwingine mwenye shamba ambae ndio atakuwa rafiki yangu.Siku hiyo boss wangu alilala hapo kambini kwenye tent lake.Kesho yake saa 1 asb wafanyakazi wate walikusanyika hapo kwangu maana niliwaagiza hivyo na nikapanga vikosi kazi na viongozi wake,ambapo nilipanga idara kuu zifuatazo:
1.idara ya ufyekaji miti na maandalizi ya shamba
2.idara ya vifaa vya kazi,matengenezo na vipuri
3.idara ya chakula,matibabu na mahusiano ya wafanyakazi
4.idara ya fedha na utawala
Nikawapa siku moja wakuu wa idara waniletee kila mmoja mpango wa kazi.Jioni boss wangu alikuja kunipeleka kwa yule mwarabu mwenye shamba ambae alikuwa akikaa kama kilometa 30 toka shambani kwetu.Siku hiyo tulienjoy sana nyama choma na bia lakini mimi nilikunywa bia 2 tu,tukaagana tukarudi kambini kwetu.Kesho yake asubuhi saa 1 nilifanya kikao na hao wakuu wa idara,na boss wangu alihudhuria,boss wangu alishangaa jinsi nilivyopanga hizo idara na kila idara ikawa inawasilisha mpango kazi wake kwangu,by saa 4 tulimaliza kikao na boss akaniaga kwa kunitakila kila la kheri na akasema atakuja baada ya siku 20 ili kunipeleka kwenye kituo kingine cha kazi na walati huo tulikuwa tunatumia radio call maana simu za mkononi hazikuwepo.Nilipiga kazi siku 15 kazi ya hatari na nilikuwa narudi kambini saa 1 usiku kila siku.Mpishi wangu mama mmoja hivi nae hakuwa wa mchezo,ni mdada mmoja ni mchotara wa kizungu,ambae wenyejinwanadai baba yake alikuwa padri nahakupatiwa elimu zaidi ya darasa la 7 ila kwa kazi alifanya kazi kwelikweli,chai,chakula cha mchana na usiku,maji ya kunywa,usafi wa nyumba na pia nilikuwa nikitaka mademu yeye ndio alikuwa ananileta,basi acha kazi ilipigwa hapana mchezo.Nitaendelea tena baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…