Nilivyokutana na 'singo maza wa kiarabu'

Hii ndio stori yangu nayoikubali humu.
Kwanini? 1.Bolo limetembea si mchezo.
2.We ponda tukana ila muandishi yeye hajali anashusha vitu tu.
3.Alihaidi siku mbili itaisha na kweli imeisha.Hekoooo ,hongera mwandishi kwa stori kali naipa 9/10.
 
Asante,pia yapo mengi niliyafupisha hasa element yangu nilipokuwa bismark kasanga,kwa mzee husein luchanila ambae ni marehemu na mwarabu mmoja akiiitwa sultani,hiyo ndio bye bye sitaihadhia,na iwapo ntachagua stori ya kuielezea ntatumia kompyuta ili nipange vizuri aya
 
Reactions: EEX
hapana ila ni mchotara,mzazi mmoja alikuwa mtanzania na mmoja akitokea nchi moja ulaya magharibi
Itakuwa kama sio Denmark, Sweden Norway ama Finland asili ya mzazi mmja(makisio)

Katika umri wa miaka 20-30s ndio ulikuwa ukihustle swanga na ziwani huko. 30-40s majuu na kazi(bet)

Kwa sasa una biashara gani inayokuingizia kipato? Umri huo nimebetia tu
 
Itakuwa kama sio Denmark, Sweden Norway ama Finland.

Katika umri wa miaka 20-30s ndio ulikuwa ukihustle swanga na ziwani huko. 30-40s majuu na kazi.

Kwa sasa una biashara gani inayokuingizia kipato? Umri huo nimebetia tu
kuhaso swanga yaani namanyere,china,manda kerenge nilikuwa na miaka 18 na nilihaso kwa miezi 9 tu,nje ya nchi nilikaa miaka mingi.
kwa sasa na mgahawa mdogo,nikiuza chakula kwa wateja wenye uwezo wa kawaida tu
 
Mtukanaji namba moja naomba niwe mimi tafadhali...
Eeeeh kwa hiyo mzee hujao au mbunyeto ulikuwa unazimunyiza na kuondoka
Vp kuhusu familia na watoto au hukutaka tena kuwa nao?
 
Hongera sana.
 
Mtukanaji namba moja naomba niwe mimi tafadhali...
Eeeeh kwa hiyo mzee hujao au mbunyeto ulikuwa unazimunyiza na kuondoka
Vp kuhusu familia na watoto au hukutaka tena kuwa nao?
Oh nina ndoa 2,mke mmoja ni mtanzania na mke wangu wa 2 sio mtanzania,nina watoto kadhaa,wakubwa na wa mwisho yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza nchini marekani
 
Oh nina ndoa 2,mke mmoja ni mtanzania na mke wangu wa 2 sio mtanzania,nina watoto kadhaa,wakubwa na wa mwisho yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza nchini marekani
Yaani wewe ni sawa na Mzee wangu kabisa aisee maana nipo 35+

Mkuu hivi huyo single maza aliyekupa hizo connection si atakuwa ni Bibi sana sasa hivi? πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kwavile ni kuhusy ngono watu watapiga kambi hapa
 
Yaani wewe ni sawa na Mzee wangu kabisa aisee maana nipo 35+

Mkuu hivi huyo single maza aliyekupa hizo connection si atakuwa ni Bibi sana sasa hivi? πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
ni kweli ni mzee na anaishi oman hivi sasa
 
Kama kuna vijana wanapenda adventures kama hizo nilizifanya na wanahitaji ushauri na maelekezo waje tuongee,niwafundishe
 
Ahsante Sana mzee wangu ,umenirudisha mbali Sana ulipoitaja Kirando mtakuja .
Nafikiri wakati hapo Kirando muda wa kutembea mwisho ni saa mbili utakuwa ulikuwepo?
Je unamjua kijana wa Ally mabody almaarufu SAANUNI Kessy ?

Hakika ni story yenye kumbukumbu nyingi kwangu Ila kikubwa ukibahatika kurudi tena huko niombee msamaha kwa wananchi wote wa Kirando kupitia kwa dokta Saanane kuwa yule aliyewawekea Sheria ngumu ya kulala saa mbili msiwepo mtaani kwa kusema wakimbizi wanakuwa wanatoka Congo na kuingia Kirando lakini pia vurugu haikuwa kweli yalikuwa masilahi ya wakubwa kuvusha Mambo yao hivyo nilitumika tu .

Wanisamehe Sana kwa kadhia hiyo lakini pia wambie nawapenda na kuwakumbuka akina Frank katabi ,Moris tajiri wa kiha ,kikubwa wambie hao wakubwa walishanitema Sasa Mimi ni mwenzao kabisa.

Story nzuri yenye kunikumbusha mbali Sana .

Old is Gold Ila ya kale yanafurahisha na kusikitisha Sana
 
Kama kuna vijana wanapenda adventures kama hizo nilizifanya na wanahitaji ushauri na maelekezo waje tuongee,niwafundishe
Mimi nahitaji ushauri Mkuu namna gani nijiweke ili kupata au kufanya kazi nje ya nchi, kupata mke wa nje na kusafiri zaidi nje ya nchi pamoja na kufurahia maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…