Nilivyokutana na 'singo maza wa kiarabu'

Nilivyokutana na 'singo maza wa kiarabu'

Ahsante Sana mzee wangu ,umenirudisha mbali Sana ulipoitaja Kirando mtakuja .
Nafikiri wakati hapo Kirando muda wa kutembea mwisho ni saa mbili utakuwa ulikuwepo?
Je unamjua kijana wa Ally mabody almaarufu SAANUNI Kessy ?

Hakika ni story yenye kumbukumbu nyingi kwangu Ila kikubwa ukibahatika kurudi tena huko niombee msamaha kwa wananchi wote wa Kirando kupitia kwa dokta Saanane kuwa yule aliyewawekea Sheria ngumu ya kulala saa mbili msiwepo mtaani kwa kusema wakimbizi wanakuwa wanatoka Congo na kuingia Kirando lakini pia vurugu haikuwa kweli yalikuwa masilahi ya wakubwa kuvusha Mambo yao hivyo nilitumika tu .

Wanisamehe Sana kwa kadhia hiyo lakini pia wambie nawapenda na kuwakumbuka akina Frank katabi ,Moris tajiri wa kiha ,kikubwa wambie hao wakubwa walishanitema Sasa Mimi ni mwenzao kabisa.

Story nzuri yenye kunikumbusha mbali Sana .

Old is Gold Ila ya kale yanafurahisha na kusikitisha Sana
Ni kweli sheria hiyo ilikuwepo mimi niliinavigate kwani wakuu wa serikali nilikuwa nakaa nao vizuri,ali mabodi namjua sana,ndio huyo sasa anaitwa ali kessy.Ndio huyo mtoto wa ali kessy namjua
 
Huyu anayesema haya Ni mzee wa miaka 64 alafu aliyepata exposure huko nchi za ulimwengu wa kwanza .

Ukitoka hapo endelea kuwalaumu vijana Mara hawajitumi ,Mara hawana adabu ilihali vizee vyenyewe ndiyo hivi vinawaza kulalana tu
mimi ujanani nilipambana sana kufanya kazi,sikuwa mzembe,mvivu na nisiyekuwa na vision
 
Ni kweli sheria hiyo ilikuwepo mimi niinavigate kwani wakuu wa serikali nilikuwa nakaa nao vizuri,ali mabodi namjua sana,ndio huyo sasa anaitwa ali kessy
Basi nakujua Kaka ,pamoja Sana Ila jua umenikumbusha mbali Sana aisee.
Ukirudi huko fikisha salamu zangu najua mpaka hapo ushanijua Kaka .

Ila litunze jina langu tu
 
Basi nakujua Kaka ,pamoja Sana Ila jua umenikumbusha mbali Sana aisee.
Ukirudi huko fikisha salamu zangu najua mpaka hapo ushanijua Kaka .

Ila litunze jina langu tu
Shukrani Mungu akutunze.Nimekujua na hata hilo jina tu unalolitumia linaeleza kitu kuhusu wewe,ni wachache humu wanaelewa hilo jina.Enzi hizo uovu mwingi ulikuwa unafanyika.Tumshuru sana Mungu.Hapo kirando palikuwa na kikundi cha wanajeshi wa zaire ambao walikuwa wakimpinga mobutu,siku moja afisa wangu mkuu wa usalama alinikutanisha na mmoja wao na nilishangaa mno,waliniomba msaada wa dagaa na unga ili wapeleke kwenye kambi zao huko moba.Ilibidi niwape gunia 30 za dangaa na unga gunia 20.
 
1.4 Upangaji wa safu ya kazi
Nilienda kirando na wakuu wote wa mradi wa boss huko kirando na niliwapangia gesti moja ila mimi nilipanga nyumba nzima ambayo ndio iliyokuwa makao makuu ya shughuli za uvuvi.

Kwa kifupi mradi wa manda kerenge ni mradi wa uvuvi wa dagaa,ambao ulikuwa unamuingizia boss wangu pesa nyingi na kwakuwa ni mradi wa pesa ulikuwa na fitna nyingi,uzandiki,usaliti na kila aina ya uasi na ushetani.
Siku ya pili baada ya kufika kirando nilifanya kikao kirefu na wafanya kazi wote,kikao kilikuwa kirefu na cha kujifunza mambo mengi mno na hapa mkumbuke mie sina ujuzi wowote na uvuvi
Niliandika notes nyingi mno ambazo ndio zilizonipa ufahamu wa kuisimamia vizuri hiyo kazi.
Kikao changu kilikuwa cha siku nzima na tulimaliza saa 1 usiku na niliwaaga wenzangu kuwa tukutane saa 3 usiku kwenye ukumbi ambako huwa pana muziki.

Usiku huo wafanyakazi wote wakaja na walikuwa na mapatna wao
Sasa wale waganyakazi walivyoondoka mimi nilimwita loliwe na nikamhoji vitu vingi ambavyo nilitaka maoni yake,akanipa
Baadae nilimwita chumbani nikamwambia kuwa namtegemea kwa vitu vingi sana,hivyo awe mkweli na asinidanganye.
Na ili niwe nae karibu nilimwambia awe mpenzi wangu iki tujenge udugu,akaniuliza lakini wewe si unamla dada,nikasema ndio namla dada yako wewe unajua lakini dada yako hatajua kuwa mimi nakula wewe.
Loliwe akaingia line,nikamwambia ajitayarishe ili aende ukumbini na nikamwambia anitafutie demu wa geresha ili watu wasiushtukie mchezo.

Aisee siku hiyo watu walienjoy,niliruhusu bia 4 kila mtu,zaidi ya hapo ni kujitegemea,nyama na vyakula vingine vilikuwepo na mziki.

Watu wakafurahi mno,na mimi nilichukua mpini wa solo na nikapiga miziki 3 then nikarudi eneo langu na hapo nilikuwa na demu mmoja ni mnyamarungu,ni kabila moja la huko zaire.
Mimi niliaga saa 6 usiku nikarudi room kwangu na loliwe akaja baada ya saa 1 akaingia room kwangu,akaoga na nikampa bia 2 alikuwa na khanga tu,huku anakunywa nikawa namtomasa tomasa na kumuandaa mpaka akatepeta sana.
Ndipo nilipoanza nae romance ambazo alikuwa hajawahi kukutana nazo na baada ya muda nikaanza kumnyandua,na kama kawaida yangu stamina ilikuwa juu mno,mbinu za kunyandua ni nyingi na mbegu nilimwagia nyingi mno,aliongea kila maneno nami nikiea namchochea aongee na nilimkanyaga sawa sawa,huku ananiuliza yasni anakuka raha jamani usiniache,nami namjibu sikuachi,nilishambulia papuchi hadi saa 9 nikamtoa akalale kwenye room yake.
Kesho yake niliwaambia staffs wote wapumzike mpaka saa 11 jioni waje kusikia safu nilivyozipanga

Na kweli saa 11 jioni staffs wote wakaja kusikia safu ilivyopangwa.Na upangaji wa hiyo safu niliufanya peke yangu sikumshirikisha mtu yoyote yule.

1.5 Natangaza safu ya uongozi
Niliwasalimia na meza kuu nipo mimi na yule mwarabu wa bosi.Nikaitangaza safu yangu kama ifuatavyo:
1.mratibu mkuu wa kambi zote,kazi ambayo ilikuwa ya huyo mwarabu nikamtangaza mzee kamoya ambae alikuwa katekista na mwarabu nikamhamishia kwenye shamba kule china
2.Afisa usalama mkuu nikamtaja mzee mmoja ambae alikuwa polisi na nilimtoa bismark kasanga
3.Mkuu wa logistiki,manunuzi na maghala nikamtaja loliwe
4.Mkuu wa idara ya vifaa vya uvuvi na matengenezo nikamtaja mtu mmoja ambae hapa namwita mapera
5.Mkuu wa idara ya wavuvi,matibabu na sherehe nikamtaja mama mmoja ambaye hapa namwita hawa,ambae nilikuwa namhisi ni mtu wa system ila halo katumwa kwa kazi maalumu
Nikamaliza hotuba wakapiga makofi na nikawabia safari ya kurejea manda kerenge ni kesho saa 3 asb na wote wawepo ziwani kwani mtumbwi utakuwa tayari na niliwaambia ntasubiri dk 5 tu mtu asipotokea tunaondoka
Mwarabu nikamwambia kuwa yeye tunarudi nae ili akamkabidhi mzee kamoya kila kitu na nimuandalie safari ya kwenda china,kinafiki akasema sawa lakini moyoni roho imemuuma vibaya
Alikabidhi kazi na akaniambia anaondoka hataki kwenda china,nikamwambia kila la kheri
1.5.Mkono wa chuma
Kazi ya uvuvi niliisimamia kwa mkono wa chuma,sikutaka narenare wala urafiki na mtu,hata ngiya na loliwe niliwaambia kai kazi na nikiwaota room kuwanyandua,nawanyandua sawasawa,pale kwangu loliwe nilikuwa simnyandui hapo nilikuwa naenda kwake hapo nilikuwa nanyandua ngiya peke yake.
Nilimpa ngiya mapenzi ya nguvu ya nguvu kwelikweli,loliwe yeye ilikuwa ni kumnyandua tu na ndio alikuwa spy wangu mkuu na alifanya kazi yake vizuri japo mara kadhaa alikuwa ananiambia kuwa dada yake anahisi kitu,nilimwambia tulia

Mwarabu alirudi swanga akaenda kwa boss mkuu kushtaki ha ha bosi mkuu akamwambia huyo bwana ndio boss akiamua kitu hawezi kupinga.
Afisa usalama wangu ndio alikuwa bodigadi wangu maana nilianza kuhisi michezo mibaya inapikwa.Katekista alifanya kazi vizuri sana nikatoa matofali na mabati ili kanisa la kikatoliki lijengwe haraka sana na nikatoa pia matofali na mabati ya msikiti,pia nilitoa mchango kwa kila dhehebu la kikristo bila ubaguzi,baada ya mwezi mmoja nilirudi shambani kwangu china na kumkuta mwalimu kitumbo kimefutuka.Nilimpenda mwalimu sana na nilikuwa naenda nae hadi namanyere na kuna siku nilimtambulisha kwa mkurugenzi wa halmashauri na nkasi the late deo kithama,mkonongo alitaka kuzimia kwa woga.
Mkonongo wangu akaanza kudai utambulisho rasmi kwetu,nikamwambia tulia mambo ni polepole,akawa mkali lakini mie sikumuendekeza nilijua ni mimba inamsumbua,niliongeza matumizi kwake na kuna siku nilipigiwa rwdio call na boss wangunkuwa kesho yake nuende swanga kuna dharura.Mkonongo wangu akaniambia anakuja na yeye nikaona kupunguza ugomvi bora niende nae
Kweli asubuhi tukapanda landrover ya shamba mpaka swanga.
Niliambiwa niende moja kwa moja kwa boss ambae alikuwa kwenye nyumba moja kule jangwani,ambapo ndio na mimi nilikuwa nafikia.
Nikamkuta kaka yangu na yule singo maza wa kiarabu na boss pia yupo
Nikamtambulisha mkonongo kwa kaka,kwa boss kubwa na kwa singo maza.Dah mkonongo alitaka kulia kwa furaha nilipomrefer kama mke,kitu ambacho kilimkera sana kaka yangu,lakini kwakuwa ni mtu wa busara alikaa kimya kwanza nikaambiwa nimpeleke room huyo mke wangu na ndipo kaka alilipuka kwa hasira imekuwaje nimekuja huku kuajiriwa,nikamjibu kuwa ni huyo singo maza ndio aliniunga na huyo boss na nimeifurahia sana hiyo kazi,ndipo kaka akasema kesho asubuhi tunaondoka na wewe kwani unaenda ulaya kusoma
Dah nikarudi kumwambia mkonongo wangu ambae ukweli alikuwa ananizidi umri
Basi usiku kaka,mimi na mkonongo tukatoka na singo maza pia alikuwepo.
Kaka akamwambia shem wake kuwa huyu anaenda kusoma lakini matunzo ya hiyo mimba atayasimamia yeye na kwamba asubuhi tunaondoka na akampa mzigo wa pesa mkonongo ambae nililala nae na siku nzima alikuwa analia tu na nilimwambia atulie tu.Kesho tukaondoka hadi kwetu ambapo sikukaa zaidi ya mwezi nikaondoka,jalo nilimlamba tena singo maza kama mara 3 hivi kabla sijaondoka.Lakini pia niliagana kwa furaha kubwa sana na boss ambae alinipa mzigo wa kutosha kama asante kwa kazi nzuri
2.Mwisho
Singo maza alinipa experience mpya kabisa duniani,hakika namshukuru japo kwa sasa sijui yu wapi japo aliondoka kwenda uarabuni
Mkonongo kaka aliilea mimba na mtoto pia na akaolewa kwa ndoa kabisa na yule mwarabu ambae ni rafiki yangu aliyenipa huyo mkonongo na kwa sasa wanaishi uarabuni,yule mtoto wangu kaka alimpeleka udsm akasoma uhandisi baadae akampeleka marekani kuongeza ujuzi na baadae akaenda uarabuni kwa mama yake ambako ndiko anafanya kazi na kawa raia wa huko
Miaka 15 baadae nilienda kumwona mwanangu niliyezaa na mkonongo,nilikutana na boss wangu,akanipa repoti ya manda kerenge na akaniambia kuwa ngiya na loliwe,walijifungua watoto ambao ni wa kwangu maana walitoka machotara japo walirejea kwao moba ambako ni kongo kwa sasa.
Sina mawasikiano nao.Mwaka juzi mkonongo alikuja na mumewe kwenye mazishi ya baba yake,nilipata bahati nikaongea nae tukiwa 2 alinitukana tusi ambalo humu siwezi kulisema.Huo ndio mwisho wa huu mkasa wangu ambao aliuanzisha singo maza,ambae namshukuru mno mpaka leo.Mimi sijui kuandika,kwa sasa nina miaka 64 just at home nikifurahia maisha ya dunia yenye kila aina ya vituko,karaha nafuraha.
Asanteni na Mungu awabariki nyote,sasa nawasubirinwale watukanaji mje kunitukana
Wote ulikuwa unawala peku? Je mlikuwa mnapima ngoma?
 
Mzee wangu kwanza shikamoo, dah JF bhana yan ulivyokuwa unaeleza stori yako nikajua ni mwamba fulani hivi kumbe mstaafu kabisa, sema nimependa mastori yako mzee jinsi ulivyokuwa unawapakua warembo stori tamu sana.
 
Mzee wangu kwanza shikamoo, dah JF bhana yan ulivyokuwa unaeleza stori yako nikajua ni mwamba fulani hivi kumbe mstaafu kabisa, sema nimependa mastori yako mzee jinsi ulivyokuwa unawapakua warembo stori tamu sana.
ni kweli but nilikuwa mtulivu sana,sigombani nao,siwapigi na wakinipa tu,we mnyanduonulikuwa ni mkali mno
 
Oh nina ndoa 2,mke mmoja ni mtanzania na mke wangu wa 2 sio mtanzania,nina watoto kadhaa,wakubwa na wa mwisho yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza nchini marekani
Hakika umezitendea haki mbunyeto na maisha kwa ujumla
 
Hakika umezitendea haki mbunyeto na maisha kwa ujumla
Nahisi kizaz chetu watu wa themanini mwishoni tunakosa na tumekosa marifa na busara pamoja na mbinu nyumbulifu za maisha toka kwa wazee wetu.
Ujuaji na utandawazi umetuponza sana kujifunza namna halisi ya maisha.
 
Ahsante Sana mzee wangu ,umenirudisha mbali Sana ulipoitaja Kirando mtakuja .
Nafikiri wakati hapo Kirando muda wa kutembea mwisho ni saa mbili utakuwa ulikuwepo?
Je unamjua kijana wa Ally mabody almaarufu SAANUNI Kessy ?

Hakika ni story yenye kumbukumbu nyingi kwangu Ila kikubwa ukibahatika kurudi tena huko niombee msamaha kwa wananchi wote wa Kirando kupitia kwa dokta Saanane kuwa yule aliyewawekea Sheria ngumu ya kulala saa mbili msiwepo mtaani kwa kusema wakimbizi wanakuwa wanatoka Congo na kuingia Kirando lakini pia vurugu haikuwa kweli yalikuwa masilahi ya wakubwa kuvusha Mambo yao hivyo nilitumika tu .

Wanisamehe Sana kwa kadhia hiyo lakini pia wambie nawapenda na kuwakumbuka akina Frank katabi ,Moris tajiri wa kiha ,kikubwa wambie hao wakubwa walishanitema Sasa Mimi ni mwenzao kabisa.

Story nzuri yenye kunikumbusha mbali Sana .

Old is Gold Ila ya kale yanafurahisha na kusikitisha Sana
Lete story hukusu hizo hekaheka
 
Huyu anayesema haya Ni mzee wa miaka 64 alafu aliyepata exposure huko nchi za ulimwengu wa kwanza .

Ukitoka hapo endelea kuwalaumu vijana Mara hawajitumi ,Mara hawana adabu ilihali vizee vyenyewe ndiyo hivi vinawaza kulalana tu
Acha ufala

Bila kulana wewe usingekua hapa bwege wewe
 
Back
Top Bottom