Nilivyokutana na 'singo maza wa kiarabu'

Ni kweli sheria hiyo ilikuwepo mimi niliinavigate kwani wakuu wa serikali nilikuwa nakaa nao vizuri,ali mabodi namjua sana,ndio huyo sasa anaitwa ali kessy.Ndio huyo mtoto wa ali kessy namjua
 
Huyu anayesema haya Ni mzee wa miaka 64 alafu aliyepata exposure huko nchi za ulimwengu wa kwanza .

Ukitoka hapo endelea kuwalaumu vijana Mara hawajitumi ,Mara hawana adabu ilihali vizee vyenyewe ndiyo hivi vinawaza kulalana tu
mimi ujanani nilipambana sana kufanya kazi,sikuwa mzembe,mvivu na nisiyekuwa na vision
 
Ni kweli sheria hiyo ilikuwepo mimi niinavigate kwani wakuu wa serikali nilikuwa nakaa nao vizuri,ali mabodi namjua sana,ndio huyo sasa anaitwa ali kessy
Basi nakujua Kaka ,pamoja Sana Ila jua umenikumbusha mbali Sana aisee.
Ukirudi huko fikisha salamu zangu najua mpaka hapo ushanijua Kaka .

Ila litunze jina langu tu
 
Basi nakujua Kaka ,pamoja Sana Ila jua umenikumbusha mbali Sana aisee.
Ukirudi huko fikisha salamu zangu najua mpaka hapo ushanijua Kaka .

Ila litunze jina langu tu
Shukrani Mungu akutunze.Nimekujua na hata hilo jina tu unalolitumia linaeleza kitu kuhusu wewe,ni wachache humu wanaelewa hilo jina.Enzi hizo uovu mwingi ulikuwa unafanyika.Tumshuru sana Mungu.Hapo kirando palikuwa na kikundi cha wanajeshi wa zaire ambao walikuwa wakimpinga mobutu,siku moja afisa wangu mkuu wa usalama alinikutanisha na mmoja wao na nilishangaa mno,waliniomba msaada wa dagaa na unga ili wapeleke kwenye kambi zao huko moba.Ilibidi niwape gunia 30 za dangaa na unga gunia 20.
 
Wote ulikuwa unawala peku? Je mlikuwa mnapima ngoma?
 
Mzee wangu kwanza shikamoo, dah JF bhana yan ulivyokuwa unaeleza stori yako nikajua ni mwamba fulani hivi kumbe mstaafu kabisa, sema nimependa mastori yako mzee jinsi ulivyokuwa unawapakua warembo stori tamu sana.
 
ni kweli but nilikuwa mtulivu sana,sigombani nao,siwapigi na wakinipa tu,we mnyanduonulikuwa ni mkali mno
 
ni kweli but nilikuwa mtulivu sana,sigombani nao,siwapigi na wakinipa tu,we mnyanduonulikuwa ni mkali mno
Ngoja na mim niende nao mdo mdo naweza kutunukiwa vitumbua mpk nivikimbie mzee wangu🤣
 
Oh nina ndoa 2,mke mmoja ni mtanzania na mke wangu wa 2 sio mtanzania,nina watoto kadhaa,wakubwa na wa mwisho yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza nchini marekani
Hakika umezitendea haki mbunyeto na maisha kwa ujumla
 
Hakika umezitendea haki mbunyeto na maisha kwa ujumla
Nahisi kizaz chetu watu wa themanini mwishoni tunakosa na tumekosa marifa na busara pamoja na mbinu nyumbulifu za maisha toka kwa wazee wetu.
Ujuaji na utandawazi umetuponza sana kujifunza namna halisi ya maisha.
 
Lete story hukusu hizo hekaheka
 
Huyu anayesema haya Ni mzee wa miaka 64 alafu aliyepata exposure huko nchi za ulimwengu wa kwanza .

Ukitoka hapo endelea kuwalaumu vijana Mara hawajitumi ,Mara hawana adabu ilihali vizee vyenyewe ndiyo hivi vinawaza kulalana tu
Acha ufala

Bila kulana wewe usingekua hapa bwege wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…