Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Hiyo 30k kuwa 300k ni makadirio yangu kutokana na bei ya chakula ukoyotaja

Biashara ya kukopesha kwa ambao tumewahi kufanya na tunaifanya hadi sasa, ukimkoesha mwanafunzi wa form one 5k akulipe 15k ambayo ndio ilikuwa kama pocket money yao kipindi hicho, huku akiwa hana asset ya maana, tena shuleni, ingekupelekea kupoteza hela, migogoro kufika kwa uongozi wa shule sababu hakuna ambaye angekulipa

Naona unatuketea story za kwenye movies za mafia unafanya eti bongo .😂😂
 
Form one kujitafutia shule kwa kufanya utafiti ya ufaulu ni jambo la kawaida kwa wazazi smart. Wengine hupewa mpaka na fedha ya kutembelea shule anazotaka kwenda akiwa na mtu wa kumsaidia. Tumia hii mbinu kwa wanao, inajenga tabia ya utafiti kabla ya maamuzi ukubwani. Kijana/binti yako anakuwa hakurupuki au kufata mkumbo.
 
Kunywa maji kidogo kwanza usikurupuke, ndo maana nikasema mapema Kuna watu walikua target yangu, sio kwamba nilikua natoa mikopo kiholela..
 
Sisemi hadithi yake ni ya kweli au uongo ila amesema:

"enzi zetu ukipewa elf 3 shule ikifunguliwa unaleta elf 10 na hakuna kubembelezana."

Inamaana marejesho ni ukirudi likizo. Binafsi naona inawezekana, wanafunzi huwa na fedha wakirudi likizo.
 
Hongera sana kwa kuwa mpambanaji. Ni sawa na kipaji.Nami nina rafiki angu alianza upambanaji toka tuko shule kipindi hicho tukawa tunamuona wa ajabu anaacha kusoma anatahangaika. Loooh baadae kaenda chuo bado akaendelea na mishe zake. Kamaliza chuo kajiajili sasa hivi hela anayoingiza kwa mwezi ni pensheni ya mtu serikalini. Haya maisha a heni tu. Wengi wasiomjua wanasema freemason,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa maji kidogo kwanza usikurupuke, ndo maana nikasema mapema Kuna watu walikua target yangu, sio kwamba nilikua natoa mikopo kiholela..
Achana na huyu jamaa, we leta mkeka wa pili tumalize ctor[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…