Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

JF kuna wajuaji sana si kila kitu lazima uelewe au ukipinge wanaosema ni chai sijui uji waambie watuelezee hustlin zao wengine wapo hapa JF hawajawahi hata kurisk laki moja wala hawajui biashara ni nini me nlishawahi poteza mill 24 kwenye kangomba na nilipoteza kizembe sana, kwahiyo naelewa achana nao hawa wakatisha tamaa.
 
Umesema kipindi hicho ilikuwa sahani ya wali unanunua 200, so 5k ya kipindi hicho ni kama 50k ya sasa

Halafu unamkopesha mtu elfu 5 (50k ya sasa) wakawa wanakulipa 15k (150k ya sasa) na biashara ikawa kubwa?

Yaani hapa ndipo nilipoishia kusoma hii story, hii ni chai ambayo haina sukari,.😂😂😂 Hiyo biashara ungefilisika baada ya muhula mmoja tu
Naongea haya kwa sababu nina experience na biashara ya kukopesha pia

Ukikoesha watu hela tena kwa riba kubwa bila kuwa na dhamana inayoweza kuuzwa kirahisi hapo jiandikishie kufilisika

Haya mnaoamini hii ni kweli nitoleeni povu
Uko sahihi. Kuwakopesha watu kwa riba kubwa sana kuna uwezekano mkubwa sana wa kudhulumiwa kwa sababu hela inakuwa hailipiki.
 
Mtu anitag tafadhali pati tuu inapoletwa
 
Kwa mamlaka niliyojipa ninautangazia umma kuwa huu uzi ni chai... tuusome kwa kujifurahisha tu hakuna uhalisia wowote hapa.

1. Form one alienda akiwa hajui kama shule haina wanafunzi wa kike. Wasichana kutokuwa admitted ni badiliko kubwa sana ambalo huwa sio la siri. Chai no. 1
2. Chakula Tsh 200 canteen. Kama alisoma wakati wa iPad zinatoka ni kwamba sio miaka mingi iliyopita. Kukadiria ni kama 2010 kuendelea. Vyuoni misosi ilikua Tsh 1000 na zaidi. Hakukuwa na uwezekano upate kwa Tsh 200 wali maharage hata kwa shule za sekondari. Au ilikuwa ni Ihefu sec school? Chai no.2
3. Biashara ya mkopo kwenda smoothly bila mgogoro wowote ni Chai no.3 kwenye biashara ya mikopo lazima watokee wasumbufu. Labda kama wateja ni malaika.
4. Kumiliki simu 4 maalum kwa kutazama porn shuleni ni Chai no.4 hii isingeweza kuwa siri kwa vyovyote vile lazima lingemfikia mwalimu wa nidhamu. Katika wanafunzi kuna wenye maadili wasingelifumbia macho. Kuna wenye wivu na pesa unazopiga wasingekaa kimya. Kimsingi hustles za ndugu mwandishi wakati wa secondary zimetawaliwa na chai.

Kwa hustles za Chuo sina tatizo nazo maana angalau zinawezekana.
 
Nilikuwa najiona mimi ndiye nilikuwa smart kutafuta pesa kipindi niko shule kumbe watu mlikuwa smart zaidi 😂😂😂.. Hii ya kukodisha simu kuangalia X sikuwahi kuiwaza kabisa..

Respect the hustle aisee!!
FisadiKuu unashusha hadhi ya mafisadi kwa kuamini hii chai.
 
Kwa mamlaka niliyojipa ninautangazia umma kuwa huu uzi ni chai... tuusome kwa kujifurahisha tu hakuna uhalisia wowote hapa.

1. Form one alienda akiwa hajui kama shule haina wanafunzi wa kike. Wasichana kutokuwa admitted ni badiliko kubwa sana ambalo huwa sio la siri. Chai no. 1
2. Chakula Tsh 200 canteen. Kama alisoma wakati wa iPad zinatoka ni kwamba sio miaka mingi iliyopita. Kukadiria ni kama 2010 kuendelea. Vyuoni misosi ilikua Tsh 1000 na zaidi. Hakukuwa na uwezekano upate kwa Tsh 200 wali maharage hata kwa shule za sekondari. Au ilikuwa ni Ihefu sec school? Chai no.2
3. Biashara ya mkopo kwenda smoothly bila mgogoro wowote ni Chai no.3 kwenye biashara ya mikopo lazima watokee wasumbufu. Labda kama wateja ni malaika.
4. Kumiliki simu 4 maalum kwa kutazama porn shuleni ni Chai no.4 hii isingeweza kuwa siri kwa vyovyote vile lazima lingemfikia mwalimu wa nidhamu. Katika wanafunzi kuna wenye maadili wasingelifumbia macho. Kuna wenye wivu na pesa unazopiga wasingekaa kimya. Kimsingi hustles za ndugu mwandishi wakati wa secondary zimetawaliwa na chai.

Kwa hustles za Chuo sina tatizo nazo maana angalau zinawezekana.
Haha Kuna watu mnakua wajuaji pasipo sababu
1) nishaelezea kua joining instruction hazikubadilishwa hivyo Kule walikua wameweka mpaka maelekezo ya wasichana waende na Nini, hivyo nilijua ni shule mchanganyiko
2) unafahamu kua inachukua takribani miaka Sita kuanzia form 1 mpaka kufika chuo??
3) hakuna sehemu nimesema ilikua smooth business, sasa ulitaka niweke details zote huku Uzi ningeandika siku nzima sasa
4) aisee kwa aliyesoma shule za gvt miaka Hio anaweza kuelewa, ukuda wa kijinga ulikua haupo
 
Back
Top Bottom