Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Ndugu Fisadi umeelezea vizuri lakini biashara yako haikuwa na risk kubwa kama ya jamaa. Pia yake ilikuwa haramu kwa kila angle. Naweza sema ilikuwa kama kuuza bangi. Pia alivyosema kasema shule za serikali ndo nilipojengea hoja yangu kwasababu nami nimepita shule tatu tofauti ambazo ni Pure Governmental
 
We jamaa 😄😄😄🙌🙌🙌
 
Shida ya Humu ndani JF baadhi ya members ni wabishi sana na Wajuaji.Kuna watu huleta vitu humu ndani ambavyo kimsingi vinabadilisha maisha ya watu,msipende kumkatisha tamaa mtu au kuleta ujuaji,Humu tupo Kujifunza zaidi kila siku.
 
Sikuiona sehemu mwandishi kalazimisha watu wamuamini .. ..
Halafu pia sijaona sehemu kalazimisha watu wasome .. ..
Hii Ni burudani .. unalazimisha Joti kwamba Ni muongo sio mwanamke kwa vile kavaa kike lkn Ni mwanamme.., wanaomuangalia tayari jibu wanalo kichwani! .. ..

Vitu vingine Ni simple Sana havihitaji kukaza fuvu!
 
Nasubili muendelezo unitag please
 
Shida ya Humu ndani JF baadhi ya members ni wabishi sana na Wajuaji.Kuna watu huleta vitu humu ndani ambavyo kimsingi vinabadilisha maisha ya watu,msipende kumkatisha tamaa mtu au kuleta ujuaji,Humu tupo Kujifunza zaidi kila siku.
Wanashangaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…