Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Sehem ya kumi vp
 
Kamalizie Uzi wako ndio ufafanue yote hayo
 
Kumi n saba vp
 
Kafara na jumba bovu ka angushiwa konda msafi kwa sasa ye ndio jambaz kuu pia kuna tu jambaz tu dogo dogo ila ata konda alipigwa maswali korofi lakin kumbu story iliisha labda ile nyingne pia holy holm nae alikutana na watu wavurugaji story sikuona kujali alendelea kushusha tu episodes up to end.
Changamoto zipo lazma watakuja watu watasema chai, ohoo ni porojo tu kam zngne piga chini endelea kushusha kama mtu anaona chai aongezee tangawiz anywe pumbavu uyu nae Analyse alipata wapinzani utafikir walikua wana mrecord maisha yake kumbe makanjanja tu by the way Keagan Paul rudi mkuu shusha episode wa lugha lugha achana nao ukweli unabaki kwako.
 
Kitu kimoja tukubaliaane Keagan Paul ni muongo muongo.
Haiwezekani alienda SA kwa mara ya kwanza 2012(stori tofauti)
Halafu kwenye huu Uzi anasema alienda 2014.(stori tofauti tena).
Sijui why mnaikuza hivi mzee baba ishu hapa watu walitaman kujua mwisho wake ..lol..yaan let it be..iwe anafake au la...kuna watu wanapata motivation kupitia stry yake .waoga watajifunza wasiwe na woga😎
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kitu kimoja tukubaliaane Keagan Paul ni muongo muongo.
Haiwezekani alienda SA kwa mara ya kwanza 2012(stori tofauti)
Halafu kwenye huu Uzi anasema alienda 2014.(stori tofauti tena).
konda msafi + Keagan Paul = Paul Makonda.

Baada ya kufanya utafiti na maesabu yasiyokua rasmi.

Multiple IDs, same person with different version of stories.

#JeifuIdumuMileleNaMilele
 
konda msafi + Keagan Paul = Paul Makonda.

Baada ya kufanya utafiti na maesabu yasiyokua rasmi.

Multiple IDs, same person with different version of stories.

#JeifuIdumuMileleNaMilele
@Melvine unahisi anafanya hivyo kwa faida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…